warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na mimi uta show love pengine hata ya kinafki,eeh warumi mie nikashangaa kuona bibie ndo kwanza huna habare umejibeba mwenyewe na akina lemutuz nyamtumbo hao Arusha mkaenda kula bata,which means ulifurahia mwenzio kupatwa na matatizo,ndio tunajua mna ugomvi bado ila kwenye issue kama hii atleast ungeonyesha kujali walau hata kutoa pole, ushasahau mwenzio aligombana na familia yake kwa ajili yako utoke selo, leo ndo unajifanya unajua starehe,hao akina albert msando cjui huyo mwanasheria mbona hakukusaidia ulipokua jela wkati yeye ni mwanasheria, sasa hivi ndo anajifanya kukujua sana? hakyamungu wewe una matatizo ,umeshindwa hata kwenda polisi kumuona? hata kama angekufukuza lakini umefika umesha play part yako,wewe una experience ya polisi,ungeenda kumtoa hofu na kumfariji mwenzio,ingekua poa sana , na wewe lulu mnafiki sana unajifanya hujui kinachoendelea sasa hivi ila kwenye party za wem hukauki kuuza sura na uanduje wako,mtoto mchawi sna, msisingizie sijui kesi iko polisi mnaogopa kuingilia,kwani mkienda kumuona ina maanisha mna support tuhuma zake? , na wewe wolper c unajifanya shoga ake wema? tena huko china mlikokutana mkajishaua kupiga picha wote kumbe unafiki tu, kwanza na wewe uitwe polisi,kila siku china unaenda kwa kazi gani?kajala Mungu anakuona tena wewe ndo wa kwanza kulaumiwa kuliko mtu mwingine,kweli tenda wema nenda zako.ptuuu
