warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
- Jamani nyie mastaa mna vituko! Kutwa kutuvalia vinguo vya ajabu insta kumbe mnajuaga kuvaa kiheshima?
.
========
Katika hatua nyingine kwenye sakata la vita dhidi ya mihadarati jijini Dar es salaam, wasanii waliotajwa kwenye orodha ya mwenyekiti wa kamati ya usalama na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wameendelea kuitikia wito katika kituo kikuu cha polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.
Asubuhi ya leo msanii Tunda pamoja na Winfrida Josephat al maarufu kama Rachel, wamefika katika Kituo hicho Kikuu cha Polisi kwa mahojiano.