Mwimbaji wa nyimbo za njili Rosa Muhando ametangaza rasmi amehamishia makao yake ya kuishi na biashara kwenda Nairobi Kenya..
Je hii inaweza kuwa kwa TRA kuanza kuwatoa kodi kubwa wasanii ? Majuzi...
Kuna Kiongozi mmoja maarufu sana wa Kidini hapa nchini Tanzania amesikika akitoa mafunzo maalum ya Wanandoa na kusikika akisema kuwa Kisheria Wanandoa wanapokuwa wapo chumbani iwe ama wamekaa tuu...
Kwa mliowai kuwasikia au kuwaona watoa mada au waongeaji kwenye majukwaa ya hamasa kwenye angle tofauti naamini kuna watu walikuvutia kwa umahiri wao, story zao halisi za maisha au kukupa nguvu...
Jaman mwenye namba za uyu demu anaetangaza kipindi cha enewz cha eatv anipe jaman nijaribu bahati kwa kweli ananivutia sana kwa umbo lake mashallaaaah bonge moja la chu****a
Mwenye picha zake zaidi
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za mapenzi watakubaliana na mimi kwa 100% kwamba kwa hapa Tanzania ukitaka kusikiliza nyimbo kali za mapenzi zenye kubembeleza,kuliwaza,kufariji na kusuuza moyo basi...
Wakuu nahisi huyu ndugu babu talent kuna nguvu ya ziada anaitumia si bure.
Nimejaribu kufatilia kwa karibu kabisa wasanii waliokuwepo chini yake na baadaye kwa namna moja au nyingine wakaachana...
Nina muda mrefu sana sijasikia wimbo ukanisisimua toka kwenu wasanii wa bongofleva.
Nyimbo karibu zote za sasa naishia kuzipenda baada ya kuzizoea zikishapigwa mara nyingi lakini haziingii mpaka...
Hii mistari imeenda shule.
dubu!!
ukiona una changa moto
we unachanga unga mnatoa dongo
mungu wetu sote hawezi kubali pokea hongo
young killer ni mdogo mungu ni mkubwa
mswahili ni yule...
Kijana mmoja aliyesema anaitwa Frank Omary amesafiri kutoka Iringa kuja Dar kumtafuta Harmorappa mna kudai yeye ni ndugu yake mama yake amemwambi ni wa baba mmoja, ameacha na namba zake akitaka...
Umofia Kwenu Wana JF,
Mwanamziki wa hip-hop Carlos walker aka Shawty Lo amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea ATL,Georgia,Usiku wa kuamkia jumatano.
Shawty Lo alikuwa akiendesha gari...
Msanii mdogo kutokea huko Arusha amesema mwanaume kama huna helani bora usiwe na mtoto maana wanatekeleza watoto na kusababisha mateso kwa viumbe wasio na hatia na sasa maisha yamekua magumu
Pia...
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please
Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Faith
Nyamayao
MTM
Na wengine...
Wakazi ni kumbe ni jamaa wise sana, amefafanua kilichompelekea afande sele kumtolea povu ni kuwa aliulizwa ataje mc wake mmoja mkali akajibu kuwa hawezi kutaja mmoja ila wanne akamtaja Fid Q, One...
Leo nimebahatika kuangalia video ya huu wimbo, niambie. Nikisikiliza maneno nasikia umenipendea nini ingali sina dough(pesa). Mara mangi asije kukudanganya na kilo ya unga. Sina kazi hata senti...
Hii kitu nimeanza kuwaza toka usiku na nimeamka asubuh moja kwa moja mpaka JF celebrities forum kutoa mapovu yangu kwa watz ama wabongo.
Huu uzi unatokana na tabia ya wabongo kuamini ktk mtelemko...