Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva. Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi...
4 Reactions
3 Replies
286 Views
Takriban miaka sita baada ya muigizaji huyo wa filamu ya Black Panther kufariki dunia kwa saratani ya utumbo mpana, kaka zake, Kevin Boseman na Derrick Boseman, wamewasilisha kesi mahakamani kwa...
0 Reactions
3 Replies
276 Views
Huyu mwamba unaambiwa baada ya upelelezi wa kina kufanyika imebainika kesi alisingiziwa hakuna ukweli wowote! Swali la kujiuliza je yale mafuta ni kweli aliyaweka ndani na kwa minajili gani...
5 Reactions
13 Replies
407 Views
Mfanyabiashara maarufu wa magari nchini, Ndugu Dotto Magari anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia na kufafanua masuala ya kitaifa na Kimataifa. Wote mnakaribishwa.
9 Reactions
93 Replies
5K Views
Habari wadau. Kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata...
53 Reactions
371 Replies
26K Views
Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Diamond amezindua rasmi pafyumu yake ya Chibu, itauzwa kwa bei ya 105,000 bei ya rejareja ameomba sapoti kwani anatoa ajirakwa vijana Zitapatikana GSM Mall, Mlimani City, pia zitakuwa zikipatikana...
10 Reactions
484 Replies
82K Views
Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani...
35 Reactions
132 Replies
3K Views
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
27 Reactions
432 Replies
29K Views
MILENIA ya tatu ilikuwa inausabahi ulimwengu. Ni mwanzo wa Karne ya 21, hii ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar. Mwaka ni 2000, Joseph Kibweteere alishazingua kinoma Uganda, alisababisha vifo vya...
3 Reactions
5 Replies
187 Views
Mwanzilishi wa harakati za Piga Kambi Utalii wa Ndani, Lisa Karl Fickernscher ambaye alikuwa ni mke wa msanii wa Hip Pop hapa nchini Mabeste amefunguka kiundani kuhusu maisha yake na aliyekuwa...
12 Reactions
611 Replies
70K Views
Staa wa Real Madril na Brazil, Vinícius Jr adaiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu (chin harmonization) nchini Brazil, kwa mujibu wa TMC Esporte. Katika picha hii ni muonekano wa...
5 Reactions
83 Replies
2K Views
My best African artist of all time 1. Lucky Dube 2. Koffi olomide 3. Fally ipupa 4. P square 5. Diamond Platnumz
6 Reactions
102 Replies
905 Views
Tulieni watu watu wana pesa acheni na wapo maporini uko wametulia Tanzania ya leo siyo ile ya kuamini wenye nacho wapo mjini tu vijana kaeni mashambani kwenu uko mtengeneze pesa si kukimbilia...
1 Reactions
9 Replies
414 Views
Anaandika MUME (Phares Magesa). Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi...
22 Reactions
162 Replies
7K Views
Mwanadada mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu tajiri nchini Jenifer Jovin maarufu Niffer kaacha rasmi kuvaa hijab. Kwaanzia alipowekwa rumande hadi akaachiliwa alishika dini sana kwa kujitanda...
15 Reactions
79 Replies
2K Views
Zamani ilikuwa kawaida sana kwa mwanafunzi kurudia shule baada ya kutokufanya vzuri matokeo ya darasa la saba. Kwa kawaida mtu alirudia darasa la 5, 6 au 7 lakini si vingine. Baada ya kumaliza...
9 Reactions
7 Replies
338 Views
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye...
3 Reactions
22 Replies
731 Views
Naomba mwenye mashairi ya wimbo huo pamoja na historia yake please ni WA kihaya.
1 Reactions
4 Replies
151 Views
Back
Top Bottom