Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

I was jus passing through the net and found this nice ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mapicha na mavideo yanayozidi kusambaa ni kwamba kwa sasa huko south familia ya diamond ni raha, amani na furaha tu iliyotawala, yale majanga yote kwishilia mbali au waweza sema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Danube home wamuandikia hamisa mobetto barua afute video ya tangazo lao kabla hajachukuliwa hatua Kali za kisheria kutokana na dhumuni lake la kujipatia maslahi binafsi na kutaka kuichafua kampuni
2 Reactions
111 Replies
17K Views
Dogo ndio kashavuta tandem hilo wakuu. Now ni mke na mume halali kabisa.....
6 Reactions
166 Replies
46K Views
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu lmepinda...
2 Reactions
10 Replies
517 Views
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia “bomu” Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro...
5 Reactions
75 Replies
19K Views
Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula 'honey...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
leo ndo happy birthday ya mjomba...alizaliwa 27/10/1978 hivyo anatimiza miaka 39. hebu tupia mstari wake mmoja wa kwenye mashairi yake unaokukosha/unaoukubali sana.... 'Usitafute njaa ya kumla...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu. Haki ya Kanumba italindwa na mwenyezi Mungu, Kanumba alifariki ndio aliko tumuombee na haki dhidi yake itendeke, sio Seth na mama Kanumba ndio wanaoumia tu hapana hata wengine tunaumia...
6 Reactions
150 Replies
58K Views
Ameyasema hayo leo kupitia ukurasa wake wa istagram Hatimaye lile swali na kutaka kumjua bwana harusi limepata majibu kutoka kwa muhusika mwenyewe
1 Reactions
62 Replies
22K Views
Baada ya Irene Uwoya kufunga ndoa Jana japo bado mume aliyefunga Naye hajamuweka wazi rasmi japo kuna uvumi ni Dogo Janja. Kutokana na watu waliohudhuria sherehe Hiyo. Jambo la kushangaza...
11 Reactions
321 Replies
58K Views
Jana ameonekana maeneo ya Moshi Kili Home akipata mizinga kadhaa huku anapiga kelele. Alikua ananipendeza akiwatia moyo wanawake wenzie. Kwa unywaji na kelele zile amenidisapoint kabisa. Ni...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi. Ila Huyu bwana harusi...
2 Reactions
193 Replies
30K Views
Producer Daxo Chali ambaye anafanya kazi zake katika studio za MJ Records hapo juzi alitangaza kuacha kumsimami msanii Nini kupitia studio hiyo, lakini stori za sasa zinadai chanzo cha hilo ni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari za kunyapia zinadai wawili hao walikuwa hawapikiki sufuria moja ila walijikaza kidume kutoonesha hadharani hadi pale wenye mji walipowaita na kuyamaliza kwa amani,kwa sasa wanajipanga kuja...
14 Reactions
70 Replies
11K Views
Kama inavyofahamika kuwa mtu anapokuwa na majukumu mengi hususani ndoa huwa anakuwa serious sana.Hii inatokana na mambo mengi yanayomkabiri mtu ikiwemo magomvi ya hapa na pale, ni kawaida kwenye...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mambo ya watoto wa Mujini haya, akipesindikizwa na Amber lulu
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Jamaa kala shavu bana, anachukua matukio muhimu kwa niaba ya raisi, pongezi zimwendee kwa jitihada binafsi zilizompelekea hadi akafika huko. Ninamwona raisi jakaya pale ambapo kuna tukio zuri la...
3 Reactions
37 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…