Kiherehere champonza Steve Nyerere, ashushuliwa na mzazi mwenzake na Joti


Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
103,358
Likes
453,110
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
103,358 453,110 280
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika mtandaoni maneno yaliyomuibua mama mzazi wa mtoto wa joti. Maneno ya steve yanaashiria kuwa mama mtoto hajui malezi bora kwa mwanae ndio maana joti hakumuoa
Post ya steve
22857921_125655214790702_1898923939141255168_n-jpg.620763


Post ya povu la mama mtoto
22860467_1547433505363815_2664009188249698304_n-jpg.620764
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
30,150
Likes
163,061
Points
280
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
30,150 163,061 280
Kazi kweli kweli mtandaoni hakuishi vituko
 
Trayvess Daniel

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Messages
353
Likes
475
Points
80
Trayvess Daniel

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2014
353 475 80
Akili za huyu baba ni fupi kama kimo chake na zimejikunja kama sura yake.....
Sio hekima hata kidogo, mpongeze anaekuhusu bila kujazia maneno ya kwenye kanga kwa mtu mwingine (unless alinyimwa mzigo way back)
 
Lello199

Lello199

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
601
Likes
1,570
Points
180
Lello199

Lello199

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
601 1,570 180
Steve nyerere eti mfupi kama koroboi
 
Alonso14

Alonso14

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Messages
1,809
Likes
1,724
Points
280
Alonso14

Alonso14

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2017
1,809 1,724 280
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika mtandaoni maneno yaliyomuibua mama mzazi wa mtoto wa joti. Maneno ya steve yanaashiria kuwa mama mtoto hajui malezi bora kwa mwanae ndio maana joti hakumuoa
Post ya steve
View attachment 620763

Post ya povu la mama mtoto
View attachment 620764 ila Mimi ni muongo na kahaba
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,100
Likes
4,407
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,100 4,407 280
halafu alivyo hajui kiswahili
"eti tumekuwa tukikariri unayezaa naye ndio mama bora kumbe sio kweli"
so inamaana kwamba wanawake wote mnao zaa nao sio mama bora, yaani hata huyu aliyeolewa kama akizaa na joti naye atakuwa sio mama bora!
alipaswa kusema sio mara zote ni ukweli?
 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
61,231
Likes
299,146
Points
280
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
61,231 299,146 280
Wacha yamkute..
 
Maserati

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Messages
11,545
Likes
18,866
Points
280
Maserati

Maserati

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2014
11,545 18,866 280
Akili zake ni nusu ya urefu wake,Na alivyo mfupi hata akikaa kwenye pitriton miguu haifiki chini...
 
middle east

middle east

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,111
Likes
1,198
Points
280
Age
38
middle east

middle east

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,111 1,198 280
Ila mama mzazi wa mtoto anaonekana cute sana eeh kuliko mke ....
 
radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
14,947
Likes
20,761
Points
280
Age
35
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
14,947 20,761 280
Ntarudi baadae ngoja nimtafutie lazaro Nyalandu kiti cha kulumzika kwanza.
 
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,263
Likes
2,399
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,263 2,399 280
steve ndiye mwalimu wa uzalendo Tanzania na msemaji mkuu wa ccm academia kwahyo ukisema akili yake ni fupi kama yeye sasa hao wa chama chake waliompa jukukumu kubwa tuwaiteje..................
 

Forum statistics

Threads 1,213,860
Members 462,337
Posts 28,493,048