Tetesi: Ubuyu Exclusive; Tunda Sabasita abeba mimba ya diamond platnumz

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
12,872
2,000
Kwa habari za kunyapia nyapia zinadai kuwa video vixen mwenye mvuto wa hali ya juu nchini Tanzania na Africa kwa ujumla Tunda Sabasita amebeba ujauzito wa msanii Diamond Platinums

Wawili hao inadaiwa kuwa wameanza uhusiano wa kimapenzi muda mrefu sana ila wanajitahidi sana kujificha ili penzi lao lisigundulike haraka mpaka pale muda muhafaka utakapo wadia kuweka wazi uhusiano wao.

Lakini siku zote bwana mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika ,mwanadada Tunda ameonesha dalili zote za kushindwa kuvumilia suala hilo na kwa namna moja au nyingine amekuwa akionesha mahaba yake ya dhati kwa msanii diamond platinums.

Na ameenda mbali zaidi kwa kuamua mpaka kuweka dp ya diamond platinums kwenye account yake ya Instagram
Screenshot_2017-11-05-00-15-50.jpg


Haya sasa vita ya Zari vs Hamisa Mobeto tupa kule

Habari ya mujini kwa sasa ni Zari vs Tunda

Je Zari ataweza tena kuvuka changamoto hiii????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom