Daah kwel Mungu hamtupi mja wake hongera zakeBaada ya kutafuta mtoto kwa kipindi kirefu hatimaye, mwanamitindo happiness magese maarufu kama ladivamillen amepata mtoto wa kiume aitwae kairo.
Hongera sana Millen Mungu ni mwema na wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Mungu amekosa waja!Daah kwel Mungu hamtupi mja wake hongera zake
Mungu kasema "ukazae uijaze dunia"duh jaman hongera zake!kwakweli Mungu ni wa ajabu
Mungu kasema "ukazae uijaze dunia"
Sasa ukizaa kuna ajabu gani hapo!?
Ooh! Samahani kwa maneno yangu makali.alikua nashida!
Ooh! Samahani kwa maneno yangu makali.
Nayabatilisha rasmi.
Namshukuru Mungu kwa ajili yake (Happiness)
Hakika.Kwa Mungu, hakuna linaloshindikana. Maana historia yake, inasikitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
He si alisema HAWEZI kuzaa isijekuwa ndio yule mtoto wa yule mama wawatu aliyeibiwa mapacha wake kesi ikazimwa wizarani,achunguzwe haraka huyo mtoto