Salimu Kikeke akipaka Poda.


mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
2,864
Likes
2,190
Points
280
mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
2,864 2,190 280
Uislaam unasemaje juu ya hili.
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
6,926
Likes
8,728
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
6,926 8,728 280
Labda anataka kuingia studio kubroadcast live. Uislamu na poda wapi na wapi?
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,206
Likes
18,013
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,206 18,013 280
Uislaam unasemaje juu ya hili.
Uislamu hata internet ahuruhusu ni haram.

Mambo ya msondo mwachie Gurumo, angalia Aljazeera English chanel kama kuna mtangazaji wa kike amefunika nywele zake.

Si vyema kujionesha kiwango cha ujinga wako kwenye public.
 
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
7,637
Likes
8,952
Points
280
P

PAGAN

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
7,637 8,952 280
Mambo ya kujipodoa ni Sunna.
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
4,034
Likes
5,143
Points
280
Age
28
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
4,034 5,143 280
huoni hapo anajiandaa kuingia studio..udini tuu
 
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
6,689
Likes
8,735
Points
280
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
6,689 8,735 280
Swali lako ni lipi?
Uislamu unasemaje kuhusu mwanaume kupaka poda?..AU
Uislamu unasemaje kuhusu matumizi ya poda?.
 
Diplomatic Imunnity

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,252
Likes
223
Points
160
Diplomatic Imunnity

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,252 223 160
Kipya kipyaa
 
yello masai

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
1,900
Likes
1,249
Points
280
Age
48
yello masai

yello masai

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2016
1,900 1,249 280
Unafatilia sana mambo ya watu
 
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
1,579
Likes
1,667
Points
280
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
1,579 1,667 280
hata wanja ni sunna. wanaume anzeni kupaka
 
Snitch2020

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
77
Likes
91
Points
25
Snitch2020

Snitch2020

Member
Joined Aug 24, 2017
77 91 25
Msipende kuleta udini katika kila kitu. Na nina hakika alieleta thread hii sio muislam kwasababu muislam hawez kuuliza upuuzi kama huu
 
J

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
6,175
Likes
2,043
Points
280
J

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
6,175 2,043 280
Uislaam unasemaje juu ya hili.

Ohoooooo, wanaanzaga hiv hivi hawa.....mara poda, lipstick, kisha atatoka hapo kwenda kusikiliza taarab na bongo fleva, mwisho wa siku tutasikia kaolewa na njemba la kizungu.
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
7,520
Likes
16,627
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
7,520 16,627 280
Uislaam unasemaje juu ya hili.
Uislam na kazi wapi na wapi??

Huyo ni Mtangazaji wa Television kubwa, lazima awe na appearance inayokubalika Kimataifa..

Jaribu kusitiri kidogo ujinga wako mleta mada.
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,512
Likes
7,308
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,512 7,308 280
Ulikuwa unampaka wewe?
Mbona unajishushia hadhi Dada, mi nilikiwepo vipi kipindi cha Mtume?, au unaona ajabu?, vitu vitatu alikiwa akivipenda sana, Uturi, Wanja na hinna kwenye Ndevu
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,463
Likes
5,834
Points
280
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,463 5,834 280
HATA MTUME MUHAMAD ALIKUWA ANAJIPODOA SEMBUSE KIKEKE?
 

Forum statistics

Threads 1,215,542
Members 463,275
Posts 28,552,079