Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Mideko

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
35,280
190,754
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.

IMG_20171110_094420_428.jpg
 
hivi mnaomsema Hamisa

huyo diamond ana tabia njema gani?
huyo zari ana tabia njema gani?
huyo mama diamond ana tabia gani njema?

acheni kumpiga mawe mtoto wa watu!!!
hawezi kuamua vita ya panga kwa fimbo.
unapoamua kukimbizana na vichaa lazima ujitoe ufahamu!!
hio familia ya madale bila dongo juu ya dongo huwezi ishi nao!!!!
kila siku wao wanamwaga mboga, sasa wamepata wa kumwaga ugali!!!
huyo zarina juzi tu katoa live video anamdiss hamisa, kwahiyo yeye ndio mwema????

muacheni hamisa mimba hakujibebesha mwenyewe!! mtt ana baba yule mwacheni am-take care!!!!
 
Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.

View attachment 627836

Ninachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani, katika Dressing table na Bafuni.
 
Back
Top Bottom