Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

akihojiwa E. A Radio mapema Leo Jumamosi Nov 25.2017 The king of vocalist Melody Christian Bella Obama. amesema yupo hatua ya mwisho kuachana na uraia wa nchi yake Kongo DRS ya Zamani na...
14 Reactions
34 Replies
9K Views
Kati ya hawa wasanii solo wapya ubongoflevani yaani Nandy na Becka flavour, nani ni mkali, nani ana hit kali, nandy ana track ya gusagusa, wasikudanganye, beka ana libebe na sarafina. Toa maoni
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hatimaye imethibitishwa kuwa malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amesaini makataba na kampuni mpya ya Taurus Musik ambayo itakuwa inasimamia kazi zake. Jaydee amefanikiwa kusaini mkataba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kutembelea kituo cha utangazaji cha clouds media na kuwapa pole kwa tukio lililowapata jana, kabla ya kuondoka akawaambia kua ameongeza saa moja zaidi hivyo badala ya saa sita...
3 Reactions
134 Replies
19K Views
Familia ya marehemu Ndikumana ambaye alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tanzania, Irene Uwoya, imesema iko tayari kumsaidia mtoto wao aliyeachwa na marehemu Hamadi Ndikumana, Krish Ndikumana, ili...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba Team Wasafi kwa upande wa masauti mungu hayuko upande wao, Embu cheki kwa makini hii live performance ya alikiba na bela iliyofanyika pale leaders alaf cheki na live performance...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nimefanya utafiti kuhusu uhusiano wa vyura na wasanii wa like wa bongo nikagundua asilimia kubwa ya flat screen ndo wanaofanya poa.mfano nandi,rosalee,chemical,ladyjaydee,DJ sinyorita...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wambea wenzangu ebu nipeni ubuyu, Hivi Zamaradi bado yupo Clouds baada ya kuolewa na mission town? Maana kusema kweli alikua anajua sana kutangaza especially kwenye kipindi cha TAKE ONE na LEO...
19 Reactions
79 Replies
18K Views
Mchezesha muziki maarufu nchini DJ Rico amefariki dunia. Rico ambaye amefanya kazi vituo mbalimbali vikiwemo Clouds na East Africa Radio atakumbukwa na wengi kutokana na umahiri wake katika tasnia...
5 Reactions
70 Replies
16K Views
Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa...
6 Reactions
74 Replies
13K Views
Licha ya promo kuuuubwaaaa na kelele kibaaaoooo......but niko live hapa kwenye Fiesta, mpk muda huu sijaona kikubwa cha kutisha kilichofanywa,show zimepoa hakuna amsha amsha zile tulizozoea....KWA...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Usiku wa kuamkia leo pale leaders kulikuwa na kilele cha Fiesta huku waandaaji wakijipambanua na kauli mbiu ya 100% local, yaani wasanii wote watumbuizaji wanatoka nyumbani. Watazamaji-...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Muunganiko wa wakali wawili wa muziki wa Rap kutoka Tanzania, Roma na Stamina ‘ROSTAM’ umeshika nafasi ya juu baada ya sifa na pongezi kusambaa zaidi zinazowataja kuwa ni miongoni mwa wasanii...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Natumaini wana janvi wote wazima wa afya,nimelazimika kuandika Uzi huu baada ya kusikiliza maelezo ya mke wa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Bi Jesca Kishoa Kafulila! Nimeshindwa kuleta video...
12 Reactions
75 Replies
11K Views
Malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amefanikiwa kupata uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki baada ya kuachana Rockstar inayoongozwa na Seven Mosha. Akiongea na Bongo5, mtu...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Kesi ya kutumia madawa ya kulevya inayomkabili Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu imeahirishwa leo katika Mahakama ya Mkazi Kisutu hadi Desemba 14 mwaka huu. Akieleza sababu za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rita Ora amefichua kuwa aliweka mayai yake ya uzazi kwenye barafu baada ya miaka 20 alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Televisheni ya Australia . Muimbaji huyo wa raia wa Uingereza, ambaye...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Mtangazaji wa clouds media group Babie Kabae ana " UVUNGU " wa haja na " BASTOLA " za uhakika hivi hadi anafikia hatua anasababisha watu tunaacha kuko centrate katika kusikiliza taarifa zao muhimu...
3 Reactions
174 Replies
69K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Dully Sykes amewalalamikia wasanii wadogo kiumri kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa kukosa upendo na umoja baina yao kwa kutokupeana sapoti kwenye kazi zao. Dully amesema...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kweli dunia ina mambo na vijambo leo nmeanzisha thread watu wapost pic zao Evelyn Salt akapost picha iliyonistua huwezi amini lakini amini usiamini Evelyn Salt ni star mwenye pesa chafu huko...
0 Reactions
71 Replies
24K Views
Back
Top Bottom