Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Nibozali

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
572
Likes
1,051
Points
180
Nibozali

Nibozali

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
572 1,051 180
Jana Hamisaa alionekana ndani ya Pipa from Dubai to Tanzania tayari kwa uzinduI wa filamu aliyoshiriki kuigiza ya Zero P. Hivi kwa sasa Diamond yuko Pande zipi za dunia? Naomba nijibiwe jamani
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,520
Likes
13,018
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,520 13,018 280
Yupo kwake.
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
33,664
Likes
41,586
Points
280
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
33,664 41,586 280
Dai yupo dubai. Na hamisa alikua dubai

(Mmh najaribu kuwa nice kwa tununu maana habari za kunyampia nyampia zinasema alienda kuuza papa kwa don flan hivi)
Kuuza papa uongo Milly mwenyewe anaotea tu

mondi ni hamisa ni washenzi sana tuu sisi mashabiki maandazi kazi tunayo
 
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
905
Likes
1,027
Points
180
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
905 1,027 180
Nashukur Mungu mi sio mmoja wao
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,119
Likes
496,062
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,119 496,062 280
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Kuuza papa uongo Milly mwenyewe anaotea tu

mondi ni hamisa ni washenzi sana tuu sisi mashabiki maandazi kazi tunayo
 
mrsleo

mrsleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Messages
1,874
Likes
1,228
Points
280
mrsleo

mrsleo

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2014
1,874 1,228 280
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa ,yaani licha ya kusuluhisha yaliyotokea kati yake na Zari kuhusu kumzalisha Hamisa Mobeto na hatimaye kuomba msamaha na kusamehewa na mwanadada Zarina Hassan ,lakini bado Diamond Platnumz ameonekana kurudia kosa lile lile kwa kulala tena na Hamisa Mobeto

Sasa sielewi lengo la Diamond kumfanyia hivi Zari ni nini?

Yaani hapa hata lile sakata la kumpachika mimba Tunda halijapoa Diamond ameanza kuyaibua mengine.huyu mrembo ndiye aliyevujisha siri hii sijui naye lengo lake lilikuwa kumrusha roho Bi Tukinao .
kwani hii picha inaonyesha wako kitandani?
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,119
Likes
496,062
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,119 496,062 280
Na sifa za mitandaon kuitwa kiboko ya fulan atamuachia nani. Wanawake sie akili zetu uwiii sijui nani alitulegezea nati za ubongo
Anafurahia kuchezewa kweli inahitajika akili ya ziada kujitambua na kutambua dhaman yako
 
mrsleo

mrsleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Messages
1,874
Likes
1,228
Points
280
mrsleo

mrsleo

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2014
1,874 1,228 280
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
nilikuwa mmoja kati ya waliokuwa wana scream dnt forgive him, i wish angetusikiliza
 
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
905
Likes
1,027
Points
180
wamaukweli

wamaukweli

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
905 1,027 180
Na sifa za mitandaon kuitwa kiboko ya fulan atamuachia nani. Wanawake sie akili zetu uwiii sijui nani alitulegezea nati za ubongo
Inasikitisha sana anaonyesha dunia nikiasi gan asivyo na staha
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
33,664
Likes
41,586
Points
280
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
33,664 41,586 280
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Walikua pamoja acha picha iliyovuja kuna clip amesnap misa dai anaongea anamuita sallaam sk daah

Niwe mkweli Zari mwenyewe ndo anataka yote haya kama aliweza kumuacha Ivan aliyeishi nae for 15yrs anakubali vipi kudhalilishwa na hiki vitoto(Misa na daily)au ndo hana pa kuegamia

Diamond anakosea sana ht km kick as he said kua lile soo la kuzaa na mobeto limempandisha ila kama hamtaki amuache Dada wa watu

Hamisa nae anakosea au ndo analipiza kama yeye alivyoibiwaga Majay na Lulu?
Mi Leo sijapenda maana I know how it feels when somebody's akikuchit tena hadharani

Da zari tafuta age mate!!
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,119
Likes
496,062
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,119 496,062 280
Kuna kitu anakitaka ndo maana kaona bora kusamehe kuliko kuchukua maamuzi ya kuachana
nilikuwa mmoja kati ya waliokuwa wana scream dnt forgive him, i wish angetusikiliza
 
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
13,403
Likes
19,284
Points
280
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
13,403 19,284 280
Sio kwa milly pekee wapo wambea wengine nimesoma huko

Ila mond kumlipia hamisa ndege kwenda na kurudi bila kusain dili lolote ngumu sana. Kama wana mahusiano hamisa atateseka sana,zari anavumilia mengi.
Diamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi

Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
 
Forum statistics

Threads 1,250,179
Members 481,248
Posts 29,723,322