Frola Mtegoa.
MAMA wa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema kuwa, kutokana na matatizo yaliyompata staa wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya kuhukumiwa...
Kiukweli tusiseme uongo hakuna asiye jua kazi nzuri ya huyu kijana wetu hapa Bongo.. Dogo Aslay pamoja na kuwa na kipaji cha sauti.. Yani sauti natural haimbii puani anautunzi flani hivi mzuri...
Jacquline Wolper amesema kuwa mastaa wengi hawapendi kupeana ‘sapoti’, kiasi kwamba hata kama staa mwenzao akiwa na biashara yake wapo radhi kununua kwingine lakini si kwake, ili tu wamkomoe...
Hatimaye bondia machachari na mwenye pesa, alieweka rekodi ya kutopigwa kwa mapambano ya ngumi 50, amejipongeza kwa kushinda pambano lake la mwisho na McGregor ambae ni bingwa wa UFC, kwa kununua...
Kama ambavyo ukitaja majina ya wanasayansi wakubwa huwezi kukosa kumtaja Newton, hivyo hivyo huwezi kutaja waandishi wa vitabu vya lugha ya Kingereza bila kumtaja William Shakespear.
Huyu ni...
Haya ndio maneno aliyoyaandika Mange katika ukurasa wake wa instagram
By mangekimambi_ Breaking News Wema Sepetu na Mama yake wanarudi CCM very soon.......Rudini nyuma kuna posti niliweka Wema...
Kusema kweli kajua kunoga, hivi alikua anafanya makusudi au alikua anategea kiki? Kusema kweli page ya wema ilikua haina mvuto, especially picha anazopost ukilinganisha na mastaa wengine kama...
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu amemwambia muigizaji mwenzake wa filamu ambaye ni kada wa CCM, Steve Nyerere kwamba hana mpango wa kurudi tena CCM.
Wema amesema hayo baada ya kuona ujumbe wa...
Wana JF,
Waswahili wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, ndio hivyo tena Irene vitu maalum vimwemwangukia, sipati picha itakuwaje huko bungeni. Tunaomsupport tunamwombea kila la heri...
Habari zenu wa Jf
Jana usiku mwanamuziki wa kizazi kipya bwana Nasib bin Abdul Juma ameachia wimbo wake unakwenda kwa jina la Sikomi huko kwenye mtandao wa youtube.
Lakini cha kustaajabisha...
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Alhamisi hii katika kipindi cha Clouds360, amesema amepunguza wasanii 20 katika list ya wasanii ambao walipanga kuwepo...
Wambea wa mjini wote mpaka sasa wanaumiza kichwa kuhusu ndoa inayosemakana kati ya Janjaro na Irene Uwoya.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote uliopatikana ambao unaonesha kwa namna moja au...
Jamani huyu Dada kweli ni African Princess, anarangi na mwonekano mzuri kweli..
she is so cute.
na sauti yake ndio usiseme, yaan kila ninapo msikiliza moyo unajaa furaha kweli.
Anakafigure flani...
Kuna jamaa anaitwa Rado. Kwa majigambo anaonesha ni artist katika sanaa nzima ya Bongo movie.
Mdau huyu nilimsika kwenye tv(sikumbuki tv gani na kipindi gani) akimueleza presenter kua wasanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.