PROFESSOR JAY - SAUTI YA GHETTO
PRODUCER : Q THE DONE
STUDIO : MO RECORDS
Intro:
Aaah
Eeeh bwana eeh..!!
Unapima kisha Unakimbia majibu
Wewe..!!!
Chorus:
Ni Sauti ya Gheto
Kwa Watu Wangu wa...
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha...
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
Diddy...
SIRI YA FICHUKA
MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA
Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱
Anasimulia:
"Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka...
FANANI AFUNGUKA WAZI, JINSI HARD BLASTERS CREW (H.B.C) ILIVYOMJENGA PROFESSOR JAY, "1990s"..
"HARD BLASTERS ndio kundi lililombeba na kumsaidia Prof. Jay, siyo Prof. Jay kuisaidia Hard...
BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022
: UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA
Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka...
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya...
Usiku wa kuamkia leo mwanamzuziki Jux pamoja na mkewake Priscilla walihudhuria harusi ya streamer mkubwa kutoka Nigeria anaeitwa Peller akifunga ndoa na mkewake
Jarvis.
Soma zaidi:tofauti kati ya...
Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha ya kuwa Zuchu amejifungua salama.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
Mwanamuziki na mwigizaji Ariana Grande anapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa shughuli zake za hadharani baada ya kukamilika kwa ziara yake ya Eternal Sunshine Tour, huku mwakilishi wake akisema...
Habari ya ukweli kabisa
Na Mmiliki wa cave Disco.
The sound of Serengeti
Anaanza Kwa kusema
Mimi nilikuwa nafanya kazi AICC kama Director of Conferences and Marketing, na wakati huo naendesha...
Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya...
Sababu kuu
1.Anaimba uhalisia wa maisha na uwanadamu
2.Anayaishi anayoyaimba
3.Nyimbo zake ni MHIMU kwa Rika zote wazee kwa vijana nk bila kujali Zinaburudisha kivipi
4.kwaujumla zina witicism...
Shogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi...
Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume?
Sikilizeni hizi hapa...
Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni Sunna ya Mtume Muhammad. Na inatajwa kwamba mwanamke anae mruhusu mume wake kuoa mke wa pili anapata thawabu...
Yuko wapi huyu mdada Lissa hajaonekana mda mrefu sana si mtaani wala mitandaoni
Ikumbukwe lisssa alikua mdau wa utalii wa ndani Tz miaka ya 2011 pia aKawa manager na mke wa mabeste msanii wa...
Nadhani toka nchi ya Tanzania Imezaliwa mwaka 1961 hakujawahi kutokea album Kali ya Kundi la Hip hop Kama ile iliyokuwa na vichwa vitatu waliotengeneza Kundi linaitwa wachuja nafaka lakini pía...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.