Maisha hayana formula kumbuka hiloPamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Hahahahaha kwa mbali kama kweli hiviUkisoma sana unakua mjinga baada ya kuwa bora, yani katika kila kitu utaona ni vya kijinga kufanya mfano kujenga nyumba nzuri utaona ni ujinga kuwa na nyumba nzuri, kula utaona maharagwe yana faida kuliko nyams
Ngoja ma prof watembeze Supplementary🤣🤣SUA wamekufanya nini mkuu mpaka uwafanye mfano?.
Kudanga koote na jamaa na kuwachanganya kumbe ulikuwa unafanya na utafiti wa maisha yao?Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
🤣🤣avumilie tu chuo kigumu hicho sio mchezo,asiwachukie maprofesa.Ngoja ma prof watembeze Supplementary
Unamjua prof. Kabudi!Professor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.
Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni