Joto la upinzani wa matamasha ya music kati ya fiesta na wasafi festival linazidi kupanda kiasi Kila upande unatumia aina yoyote ya promo ili mradi kuvuta watu.
Katika tangazo la clouds msanii...
Mwambieni mamba aseme suu me sio shabiki WA udaku lakini
nataka nione mbambe Nani Kati ya dada wa taifa na konk master
Aisee! Hii movie imefika patamu
wacha tuone
konk konk konk master
Baada ya Shafii kuweka hii picha,nusu jezi ya Simba nusu Azam ,aisee Manara amefyatuka kama sijui nini.
Huku maneno mazito mazito yakifuata
Manara huwa anapenda sana kuwatania watu hasa Yanga...
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama...
Harakti bado zinaendelea kama kawaida kuhusiana wimbo wa mwanamziki Rayvanny na Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffa wa Mwanza Nyegezi.
Na mambo yapo kama hivi.
Rapper Mwana FA ametinga BASATA kama...
Narudia huu ni ushamba.
Haiwezekan mzigo ule wa vera sidika unauendea bila booster ya vumbi la Congo a.k.a mundende, puturu.
Jiulize kwann lawama za watoto wakike haswa daslam zmeisha kuhusu...
Kikwete atua Dar awahoji mawaziri
* Awataka kuelezea mikoa waliyotembelea
* Zitto uso kwa uso na Karamagi uwanja wa ndege
* Wasalimiana kwa kupeana mikono
* Alikuwa kwenye ndege...
Balozi Daraja inasemekana alifukuzwa kazi akiwa katika msafara wa Rais nchini marekani, baada ya muda wake waziada kuisha , na kurudi nyumbani kwa kupangiwa kazi nginine, muheshimiwa huyu kwa...
Kuna taarifa kwamba, Yussuf Manji, amechanganyikiwa kwa kula unga, huku baadhi ya watu wakidai kwamba amelogwa na Simba, wakati ndugu zake wakawa wanasema tokea jana alizidisha kubwia unga hadi...
Top 10 Most Beautiful Female Politicians In The World 2018
Wanawake wanasiasa wazuri sana duniani,list hii ina mashaka kwa sababu hakuna hata Muafrika mmoja,wameweka vimwana vya rangi nyingine...
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu baada ya
ukimya wa muda mrefu katika mtandao wa
Instagram, ameweka post yake ya kwanza ndani
ya mwaka 2017 huku akiwaahidi mashabiki wake
mambo mazuri ndani ya...
Staa wa bongo muvi Tanzania beautiful onyinye Wema Isaac Sepetu amemkumbuka ex wake ambaye ni model mtanashati Luis Munana
Wema aliandika maneno kuashiria amelikumbuka penzi lake na Luis na...
STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ' Shilole' amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha.
Shilole alisema mpenzi...
mimi sio hater
Dada zetu povu ruksa,
Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint .
Kumbe shemeji yenu njaa...
kwa siku za karibuni kumekua na kelele byingi zinazohusu mahusiano jinsia moja ! Ambapo wasakwa ni mashoga na wasagaji !
Kundi la WCB likiongozwa na Diamond limekua likitunga na kutoa...