Yule Mtoto wa Ghana Jake Amo sasa kakua, je ataendelea kutaniwa?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Kuna huyu mtoto ambaye anapendwa kutaniwa na kulishwa maneno kwenye picha yake sasa kakua.

Huyu ni mtoto wa huko Ghana, picha ya kwanza inayosambaa, alipigwa wakati alipienda kwa mara ya kwanza kwenye shule ya kujifunza kuchora kijijini kwao.

Hiyo picha ilisambaa dunia nzima ikionesha akiandika. Inasemekana ndiye alikuwa mdogo kwenye hilo Darasa. Ilipigwa 2015 kipindi hicho Jake akiwa na miaka minne.
jake2.jpg
jake2.png

FB_IMG_1547564539146.jpg
IMG_20190115_180445.jpg
FB_IMG_1547564466416.jpg
14718286_323963077984243_3686037467112144896_n.jpg
14676721_948799681918442_6484008467735511040_n.jpg
IMG_20190115_173718.jpg

IMG_20190115_180428.jpg
 
Maisha yakiwa magumu anaomba fidia tu kwenye mitandao yote iliyo husika na usambazaji wa picha hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom