Kupitia ukurasa wake wa instagram , mjasiriamali maarufu, Zari the bosslady amewaomba msaada mastaa wakubwa wa kike bongo kumchangia kijana Rajabu ambaye Ana ugonjwa wa ajabu, hili akatibiwe...
Ommy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka
Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito...
Biashara inapokuwa kubwa, makampuni huwa yanaanzisha kitengo kinaitwa compliance department na huajiri wataalam wa kuhakikisha biashara haibughudhiwi bugudhiwi na serikali kwa kuvunja vunja...
Yule gwiji wa mama nakufa mteja namba moja wa liquid pub wiki ameangusha birthday party nyumbani kwake huku mastaa mbalimbali wa bongo wakihudhuria.
Siku ya juzi huduma zilisimama pale liquid pub...
Labda nimepitwa na mengi, hivi huyu jamaa ametoa ngoma kali mpya au atapiga zilezile za zamani? au ni ngurumo ya radi tu ambayo ndiyo imempa shavu mwaka huu? ,nyimbo ambayo ni ngumu kumeza pia...
Early life and Education[edit]
Vanessa Mdee was born on 7 June 1988, in Arusha, the third-largest city in Tanzania; located in Northern Tanzania. Mdee became familiar with various cultures after...
Baada ya kufanya kazi kubwa ya kumuwakilisha mume wake katika kutambulisha wimbo wake mpya 'Zimbabwe' Mke wa Roma Mkatoliki , Nancy amefunguka na kuweka wazi kwamba hii ndiyo itakuwa kazi yake wa...
Msanii hitmaker wa mziki Darasa kaibuka na kali ya kufungia mwaka baada ya kimya cha muda mrefu...this time kaja na "Tofauti" ingia hapa kuskiliza dude la kimataifa
Sku hzi huyu dogo simuelewi elewi..anaimba nyimbo ambazo naona kama anapotea hvi....nyimbo kama huko kwetu, natafuta kiki, mbeleko, unaibiwa, zezeta..zilimfikisha mbali sana..sasa naona anaanza...
Katika vitu ambavyo akili yangu inakataa kuamini ni kuhusu huyu binti anayeitwa Dorah.
Wengi wanadai ni mtu mzima lakini bado siamini kwa sababu hana kigezo hata kimoja ambacho kwa kiasi fulani...
Za saa hivi mheshimiwa !
Pole sana kwa kazi, na hongera kwa kulitumikia taifa letu.
Mimi binafsi nina maswali machache ambayo ningependa uyaclear wewe binafsi na sio kama chama. Tokea kifo...
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani 😂 yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe 😂😂 watu wasiowahi kusafiri...
Hajasahau alivyotekwa na wewe ukiwa mhusika mwenye mamlaka ya kuhakikisha anarudi hata hukuhangaika na ulikuwaga na majibu ya ajabu kweli
labda siku hizi inawezekana umeanza kuwa na roho soft...
Hatimae muigizaji maarufu wa vichekesho nchini Tanzania Ankoo Zumo anaye igiza pamoja na Familia yake yaani Mwanae Maisala na Na mke wake (Mama yake Mai)
Ambaye amejipatia umaarufu sana nchini na...
Kituo cha Sound city Africa kimetoa nomination za tuzo zao kwa wasanii waliofanya vizuri barani Africa mwaka 2018 huku wasanii nguli Wizkid, Davido, Diamond,Tiwa Savage wakiongoza kwa nominations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.