Alikiba na kundi lako ni heri muimbe Kaswida tu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,133
11,124
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu

Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
 
We jamaa bwege kweli tena nakuita bwege kabisa.
Badala ya kuwapa support wewe unaponda, vijana wamenaza vizuri kubali kataa ila ukweli ndio huo
 
Back
Top Bottom