Hii ndio tafsiri ya watanzania

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
UKIMJUA ANAEKUCHUKULIA MUME UTACHUKUA HATUA GANI?

Mambo ya kuchukuliana waume si mapya kabisa kuyasikia lakini likikukuta ndio utajua maumivu yake.Namna ya kukabiliana na maumivu hayo inahitajika busara ya hali ya juu kwani kama si busara unaweza kufanya lolote lile....

Kuna dada yeye alichukuliwa mume na moja ya marafiki zake yeye alichoamua ni kukusanya kikundi na kigoma cha Uruguay kwenda kumkomesha mbaya wake...
Kwanza walianzia bar wakapata kinywaji ili kujipa mzuka wa shughuli yenyewe...

Kisha wakawasili nyumbani kwa mchukua mume huyo ambako anaishi na wazazi wake na kuanza kuserebuka vigoma ambavyo vinaambatana na nyimbo za vijembe.

Wenye kazi yao shughulini ili mradi wamelipwa...

DSC08290.JPG

Aliyechukuliwa mume...

Wakati haya yakiendelea mlengwa hakupepo nyumbani kwao isipokuwa baba mzazi alikuwepo,ukiangalia kwenye picha utamuona kasimama mlangoni anaangalia yanayoendelea hata haelewi maskini baba wa watu.

Haya ndio mambo yaliyopo ila mimi naona ipo njia ya kudeal na mbaya wako kuliko hii.Pia kwa nini usideal na mumeo kwanza ambae amekiuka makubaliano yenu?una uhakika gani hatamgundua kimada wake mwingine?utawapigia vigoma wangapi?

Hiyo ni mitizamo yangu lakini dunia uwanja wa fujo kila mtu anacheza ngoma aitakae huwezi kumzuia mtu kufanya lake.

from Dina Marios(dm)
 
hahahahahhah badala waende gym kukata manyama uzembe wanacheza tokomile kweli kupanga ni kuchagua:evil:
 
hahahahahhah badala waende gym kukata manyama uzembe wanacheza tokomile kweli kupanga ni kuchagua:evil:
bwahahahahahahaha.......afu hawa wanawake bana hovyo sana....eti wanataka usawa....waulize wenzao wakenya na wanyarwanda kama wana muda wa kufanya ujinga kama huu....shame..
 
bwahahahahahahaha.......afu hawa wanawake bana hovyo sana....eti wanataka usawa....waulize wenzao wakenya na wanyarwanda kama wana muda wa kufanya ujinga kama huu....shame..
hahahahahahha Yo Yo acha kutuponda hivyo bwana
 
wanawake wa tz
wako nyuma sana kulinganisha na wakenya au wanyarandwa
 
Naona kamzoesha mmewe kule kwenye mduara sasa jamaa kapata kwenye mpasuko ...wenye kakis..mi sasa afanyeje..
Kwa mtazamo tu ndiyo kaenda kuhalilisha hiyo ndoa na matokomile yake ***** mkubwa...
 
bwahahahahahahaha.......afu hawa wanawake bana hovyo sana....eti wanataka usawa....waulize wenzao wakenya na wanyarwanda kama wana muda wa kufanya ujinga kama huu....shame..

wewe mwana ni pimbi sana una ulimbukeni flani wa kilong tym!kitu kidogo waulizeni wakenya!tembea uone ndo utaacha kufananisha bongo na hizo nchi takataka ulizoenda kwa dar express au sumry sijui....
 
wewe mwana ni pimbi sana una ulimbukeni flani wa kilong tym!kitu kidogo waulizeni wakenya!tembea uone ndo utaacha kufananisha bongo na hizo nchi takataka ulizoenda kwa dar express au sumry sijui....
pimbi kakako
 
Yaani hapa nacheka kuona kina Mama wameenda kujinadi wenyewe kwa baba wa mwizi. Mze anaangalia makalio tu ili amchukue yupi kati ya hawa machangu. Jamani kina Mama, vingine hivi mnajiponza wenyewe kwa kujitakia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom