Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimesikia Harmonize anashikiliwa hotelini mjini Eldoret kwa kushindwa kulipa bili ya hotel hii ni baada ya kutolipwa pesa ya show nayeye kugoma kupanda jukwaani. Mlio karibu nae tupeni ukweli
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kiukweli katika vitu ambavyo vinasikitisha na kutia aibu ni kuona raia wa kigeni wakitukuza lugha yetu adhimu ya kiswahili huku sisi waswahili halisi tukipuuzia lugha yetu na kuiona kuwa ni lugha...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari Wana JF! Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BAADA ya kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na aina ya mavazi yake, msanii wa muziki na filamu, Jaden Smith, amesema ataendelea kuvaa nguo yoyote atakayoona inampendeza. Msanii...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Naufananisha muziki na bahari kubwa, wavuvi wapo wengi na sokoni kuna samaki wa kila aina kuna samaki wana virutubisho vingi na ni watamu kweli ila hawana soko au labda wanachukuliwa poa na walaji...
8 Reactions
21 Replies
6K Views
Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki. Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga...
3 Reactions
100 Replies
15K Views
Hivi huyu jamaa ana watoto kweli? atajisikiaje mtoto wake akikuta anaimba hayo matusi?ama kwa hakika haya maajabu naonaga kila ijumaa akipost mambo ya mtume mohamed nikawa namuonaga mtu wa maana...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Inasemekana yuko SA kwa matibabu, hali yake bado haijawa wazi sana hatuna cha ziada zaidi ya kumuombea
4 Reactions
53 Replies
14K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nicheke kwanza ,maana nilikuwa nawachora tu urafiki wao wa mashaka. Hivi tangu...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Mjini kiki ni WCB, WCB ni kama maji ,usipokunywa, utayaoga tu . Soudybrown amejikazaa weeeee mwishoni yamemshinda maana alikuwa ameshaanza kupoteza kundi kubwa la watu kwa kukosa habari moto moto...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Wana JF, Katika tasinia ya Muziki wa dance, kote nchini ulitamba kiasi kwamba walitoka kiingilia cha bia 2 hadi kiingilio fedha tshs elfu 10, kama wapo ambao mlishuhudia tukipishana Readers club...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Van Vicker and his Wife share their Marriage Secrets Many Celebrities find it difficult to remain in marriage. Van Vicker and his wife share what has kept them together till date.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Huyu bondia ANTHONY BELLEW ambaye amepoteza pambano usiku wa leo dhidi ya mpinzani wake Oleksander USyka ni shoga au??? Inawezekana vipi mwanaume kumbusu mara mbilimbili mwanaume mwenzako tena...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwenu wadau hivi hivi hii style ya kujiangusha kutoka south Africa mmeipokeaje?? Nimeangalia hawa wanafunzi [emoji115] nikajiuliza tukiendelea hivihivi basi tutapokea mimba nyingi maana wanaana...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
uke uke ukeeeereweee,karibu kwetu ukereweee twala samaki mkia na kichwa ushindwe weweeeeeeee uke uke ukeeee ukereweeeee aisee vijana wa sasa hivi wana vipaji kwa kweliii
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Hebu toa maoni yako maana mimi mwenyewe nimekutananyo huko YouTube
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya...
2 Reactions
89 Replies
14K Views
Mshiriki Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Kati Dodoma 2011 Irene Richard (CBE) akiwa na Gideon Chipungahelo, mwandaaji wa mashindano hayo.
1 Reactions
102 Replies
19K Views
Mwanamuziki wa kimataifa,kutoka WCB,Diamond platnumz ametoa shavu kwa wasanii wachanga kutunga wimbo mfupi na kuhusu Wasafi FM 88.9 washindi watano watapata nafasi ya kurekodi bure kwenye studio...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Hata yeye amewahi kukiri mpenzi wake lady jaydee amewahi mtuhumu na scandal ya ushoga Ila yeye akapotezea, now picha yake na shoga maarufu Nigeria , bob risk imesambaa ikiwaonyesha wawili hao...
2 Reactions
45 Replies
15K Views
Back
Top Bottom