Jinsi wakenya wanavyoupenda Muziki wa Tanzania

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,424
13,380
Wakuu Nawasalimu wote ,nasimama na CAG!

Mwishoni mwa mwaka mimi na Jamaa zangu tuliona tukafanye kazi na Bata Nairobi Kenya kwa maana huu uelekeo wa vyuma haueleweki basi tukakubaliane tukachunguze masoko yao tuone tunafanyaje .

Nairobi iko full of life wakenya wanakula bata balaa ,hii hunifanya niwapende sana hawa ndugu zetu wa damu kwenye kazi wako serious na bata usiseme ,Nairobi hakuna huu upuuzi wa polisi kuranda randa kufunga baa ,Nairobi ilimradi uwe na papers hakuna mtu anamuda na mambo yako.

Nilichokiona kipya aisee wakenya wanapenda miziki ya kwetu hususani ya wasafi na alikiba yaani kila club nikiingia ni kama niko sinza hata mziki wa naigeria tumeufunika ,bolingo hawataki sikia .

Halafu wako so into Diamond life yaani wanavyochambua mambo yake hadi najiuliza mondi huyu mtoto ni mchawi nini ,yaani wanakusimulia mpaka mahusiano yake na penny deep mengine nilijulia kwao.

Natoa rai kwa wasanii wetu ,hapohapo mliposhikilia wanangu msiachieeeee .
 
Aisee,,Muziki wetu unazidi kukua Siku hadi siku,,Bongo fleva's artiste keep it Up,,So interested
 
Wakenya wana msiba na simanzi kubwa sana sasa hivi labda angalau ungeanza kwa kuwapa Pole kwanza.
 
Kwa kwangwaru huwaambii kitu.. yaani now konde boy anakubalika sana Kenya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom