Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi kuna mtu anajua maisha ya Misri yakoje? Kulindanisha na Dubai mwenye kujua naomba atufahamishe maana ndio watu wanataka kuhamia huko mwa ma firauni au nchi ya firauni (PHARAOHS)
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Huyu jamaa alikuwa anajiita Buibui alitamba na wimbo wa nimekusamehe miaka ya nyuma kidogo?? Juzi tuu msanii Alice keyla alifanya cover ya huu wimbo ikabidi nimkumbuke mwenye wimbo! Ingia YouTube...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo...
0 Reactions
73 Replies
18K Views
Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo! Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho...
8 Reactions
225 Replies
47K Views
Mwanamuziki wa miondoko ya soukous na rhumba nchini Congo, Koffi Olomide amehukumiwa kifungo cha miaka miwili nje na Mahakama ya Ufaransa kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mnenguaji wake wakati akiwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Sijui ndio ujio wa wimbo mpya au ndo kashakata tamaa na maisha..... MAONI YA MASHABIKI
0 Reactions
63 Replies
13K Views
Nilikuwa napitia vipande vya show ya Chris Brown aliyofanya Mombasa, yaani kwa jinsi alivyoperform sio yule Chris Brown nnayemjua mimi, ukiangalia show anazozifanyaga Marekani na Ulaya sidhani...
4 Reactions
45 Replies
10K Views
Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG) katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds...
0 Reactions
83 Replies
19K Views
Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ' Monalisa ' hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa .Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa...
0 Reactions
126 Replies
21K Views
Mimi ni mpenzi wa kipindi cha jahazi ila ukweli hiki kipindi bila kibonde (RIP) kimepwaya, Captain na George Bantu nawaomba msikate tamaa hizi ni changamoto za maisha
2 Reactions
4 Replies
2K Views
"Good news is it?? yes My aunt thinks ni habari nzuri and what about me?? well ……………..think i am loving the idea of mtoto wangu wa Kwanza in 2014……………i wish awe kama baby Nori…awww… How cute Baby...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mi nilidhani wangekuwa maelfu, halafu kumbe ni wanachama wa CCM..so ningedhani ingekuwa mamia ya wana CCM....au ndo kujaribu kufunika ishu? Habari za Kitaifa Mamia wampokea Kikwete...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
1 Reactions
257 Replies
47K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa pamoja na msanii wa Bongo fleva Harmonize wameacha gumzo kubwa wilayani Tandahimba kwenye mkutano na Wajasiliamali wadogo juu ya vitambulisho. Gumzo...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jacob Makala my brother kutoka Watengwa Crew (WTC), Kundi lenu asilimia flani ya member walitimkia mamtoni akiwemo Chindo Man (Mbwa) ambae anaishi na familia yake LA Marekani, Yuzzo Lubama pia, na...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Safari hii ni kupitia Wasafi TV YES or NO?
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Habarini Wanajamvi, Hivi yule “mwandani” na “mkaribu” haswa wa Msanii Diamond Platnumz zama zile ambaye pia alikuwa akiongoza “dancers” wake, Mozes Iyobo, yupo wapi siku hizi? Jina la Iyobo...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Watu wengi walikuwa na walakini kuhusu ukaribu wa Nandy na familia ya marehemu Ruge Mutahaba wakati wote wa shughuli za msiba, kwa kupewa kipaumbele kuliko hata wanawake waliozaa na Ruge. Kupitia...
6 Reactions
211 Replies
67K Views
Katika hali ya kushangaza isiyo tarajiwa na wadau wa likwid.jana mzee wa likwid alizungumza na wanahabari kutuma salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka huku akiwaomba watanzania wasimsahau hususani...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
Hii inaitwa nyundo kwa nyundo au chuma kwa chuma yani cheche mwanzo mwisho. Na kiukweli katika mapambano ambayo nilikuwa ninatamani kuona yakitokea hili moja wapo , na nina tamani sana mmoja kati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom