Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii ommy dimpoz baada ya kuwa katika kipindi kigumu sana kwa kufanyiwa operation kwenye oesophagus kwa Mara tatu mfululizo now amerudi kwenye game rasmi. Amerudi na wimbo unaokwenda kwa jina...
5 Reactions
36 Replies
7K Views
Hili ndilo tukio lingine ambalo limemrudisha Mwanamuziki Justin Bieber kwenye Headlines tena, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu...
5 Reactions
83 Replies
31K Views
Msanii wa filamu kutoka nchini Marekani, Kristoff St. John (52) amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa nyumbani kwake huko San Francisco, usiku wa Februari 2, 2019. Msanii huyo maarufu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
BAADA ya kujificha muda mrefu tangu atoke mahabusu nchini Afrika Kusini kwa msala wa madawa ya kulevya, Video Queen Agnes Jerald ‘Masogange’ amenaswa ‘live’ akikata mauno huku akipewa kampani na...
1 Reactions
28 Replies
11K Views
Huenda ukadhania kwamba rais wa Ufilipino Rodrigo Durtete na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong Un walikuwa pamoja katika barabara za mji wa Hong Kong, wakipiga picha na kula pamoja chakula cha...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Baada ya Mange Kimambi kumtukana Maimartha ,Mai na yeye amejibu mashambulizi kwa kumtupia dongo Mange. Mai ameandika "I'm living my best life in Dar as salaam" akimaanisha kwamba Mange Kimambi...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini...
5 Reactions
80 Replies
14K Views
Mwili wa msanii mkongwe wa filamu, Salome Nonge maarufu kama Mama Abdul, umeagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Tomath Mburahati jijini Dar es Salaam. Baada ya kuagwa mwili huo utapelekwa katika...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Picha za mrembo anayezidi kupasua anga na kutuwakilisha Tanzania kwenye medani ya fashion, MILLEN MAGESE zimenaswa ambazo zimekuwa zikionyesha maumbile yake vilivyo na kuwatoa udenda wanaume wengi...
3 Reactions
53 Replies
17K Views
Sid Grossman/ Schomburg Center A man that looks remarkably like Jay-Z in a photograph taken in Harlem in 1933. The photo was released by the New York Public Library's Schomburg Center...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
kwa wale wapenzi wa miondoko ya kufoka foka, Mtu mzima Jiga aka Hova amerudi tena na album mpya Magna Carter Holly Grail, tayari nna nakala yangu ndio nimeanza kusikiliza wimbo baada ya wimbo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Age is nothing but a number to Mariah Carey, 43, and Nick Cannon, 32, who haven’t let their 10-year age difference get in the way of their relationship. The celeb couple celebrate their fifth...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Like if you think Diamond is overrated and comment if you think not and why, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Msanii wa maigizo ambaye amejikita katika uchekeshaji Ahmad Juma maarufu kama Mtambo amefunguka juu ya tabia yake ya kujiita Man himself. Msanii huyo ambaye hupatikana kupitia channel ya YouTube...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ameagiza mwanamuziki Harmonize achunguzwe baada ya kuonekana akivuta kitu kinachotoa moshi na iwapo itathibitika kuwa bangi...
1 Reactions
64 Replies
16K Views
NI majanga! Inaelezwa kuwa ndege iliyopotea na straika matata Emiliano Sala inawezekana isipatikane tena baada ya kuzama ndani ya maji kwenye bonde lenye urefu wa futi 600. Bonde hilo lililopo...
3 Reactions
15 Replies
9K Views
About a month ago, it was reported that parents-to-be Kim and Kanye plunked down $11 million for a 10,000-square-foot Bel Air mansion. Now it's being reported that the new Italian style home has...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
No MTO, it's more like less than one dollar a day.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom