Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!

Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!

ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!

Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
 
Sijaelewa elewa
 
Attachments

  • 1455304107720.jpg
    1455304107720.jpg
    27.4 KB · Views: 132
  • 1455304121291.jpg
    1455304121291.jpg
    11.9 KB · Views: 113
  • 1455304161359.jpg
    1455304161359.jpg
    26 KB · Views: 116
Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!

Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!

ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!

Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
unawafuatilia sana ee
 
Hee hata daktari bigwa wa kina mama Idrisa yamemkuta haya ??? Maana yeye aliweka record ambayo wote waliotembea na Wema hakuna aliyemfikia
 
Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.

Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!

Ni mimba ya kipekee sana hiyo.

Watakuwa wanatafuta kick kwa ajili ya tamasha la Valentine aliloliandaa Wema.

Hapa wanavuta attention ya mashabiki tu, na ninadhani hao wanaosambaza hizo taarifa wamelipwa.
 
Back
Top Bottom