Mimi ni mpenzi wa kipindi cha jahazi ila ukweli hiki kipindi bila kibonde (RIP) kimepwaya, Captain na George Bantu nawaomba msikate tamaa hizi ni changamoto za maisha
"Good news is it??
yes My aunt thinks ni habari nzuri and what about me??
well ..think i am loving the idea of mtoto wangu wa Kwanza in 2014 i wish awe kama baby Nori awww
How cute Baby...
Mi nilidhani wangekuwa maelfu, halafu kumbe ni wanachama wa CCM..so ningedhani ingekuwa mamia ya wana CCM....au ndo kujaribu kufunika ishu?
Habari za Kitaifa
Mamia wampokea Kikwete...
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa pamoja na msanii wa Bongo fleva Harmonize wameacha gumzo kubwa wilayani Tandahimba kwenye mkutano na Wajasiliamali wadogo juu ya vitambulisho.
Gumzo...
Jacob Makala my brother kutoka Watengwa Crew (WTC), Kundi lenu asilimia flani ya member walitimkia mamtoni akiwemo Chindo Man (Mbwa) ambae anaishi na familia yake LA Marekani, Yuzzo Lubama pia, na...
Habarini Wanajamvi,
Hivi yule “mwandani” na “mkaribu” haswa wa Msanii Diamond Platnumz zama zile ambaye pia alikuwa akiongoza “dancers” wake, Mozes Iyobo, yupo wapi siku hizi?
Jina la Iyobo...
Watu wengi walikuwa na walakini kuhusu ukaribu wa Nandy na familia ya marehemu Ruge Mutahaba wakati wote wa shughuli za msiba, kwa kupewa kipaumbele kuliko hata wanawake waliozaa na Ruge.
Kupitia...
Katika hali ya kushangaza isiyo tarajiwa na wadau wa likwid.jana mzee wa likwid alizungumza na wanahabari kutuma salamu za sikukuu za mwisho wa mwaka huku akiwaomba watanzania wasimsahau hususani...
Hii inaitwa nyundo kwa nyundo au chuma kwa chuma yani cheche mwanzo mwisho.
Na kiukweli katika mapambano ambayo nilikuwa ninatamani kuona yakitokea hili moja wapo , na nina tamani sana mmoja kati...
Msanii nguli wa muziki wa R’n’B nchini Marekani, R. Kelly ametishia kujiua, hii ni baada ya polisi Mjini Chicago kupokea simu ya dharura kutoka kwa mwanamke mmoja ambaye hakujitambulisha jina...
Habari wanajamvi.....?
Nimepita kwenye page ya Instagram ya bwana mdogo rich mavoko nimekutana na ujumbe husiokua wa kawaida.......
Sijui nini kimemsibu huyu bwana mdogo, japo toka kajitoa WCB...
Zari The Boss Lady amewapa wakati mgumu mashabiki wake kwa kuweka picha za nyakati ambazo sio za ‘bata’ bali nyakati za kupambana na changamoto ya afya yake akiwa kitandani.
Jana kupitia Snapchat...
Jana usiku nikiwa nimetulia ghetto baada ya miahangaiko na mihanjo ya siku nzima niliamua tafuta redio yenye kipindi kizuri walau cha kusindikizia usingizi niliokuwa nao..
Mara Paaap nakutana na...
Wakuu,
Kwa tafakari fupi kupitia mfano wa kijana Pierre a.k.a Konki Fire.
Mungu ni wa ajabu sana, na hakuna mtu aliyefikia viwango vya kumfahamu kikamilifu. Wakati mwingine tupo baadhi ambao...
Ila wanazengo huyu mtoto mkubwa wa Ruge ni handsome. Yaani tangu nimuone siku ile akitangaza wasifu wa marehemu mi nilikua hoi mwenzenu, hata sisikilizi namuangalia tu alivyokua mashalah.
Mzuri...
Kwamba Tanzania nzima kwa sasa ' Mastaa ' wapo Saba ( 7 ) ambao ni:
1. Rais Dkt. Magufuli
2. Makamu wa Rais Samia Suluhu
3. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
4. Spika wa Bunge Job Ndugai
5. Jaji Mkuu...
Heshima ya mtu haitatokana na umri wako, elimu yako wala cheo chako kwenye jamii, bali itatokana na huduma yako Kwa jamii.
Unaowahudumia ndio watakaokukweza sio waliokuteua.
Tunao maprofesa...