Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

America's BET Hip Hop Awards pays tribute to Tanzanian hip hop as rapper Gsan of the group X Plastaz from Arusha, Tanzania participates in this year's BET cypher among legends such as KRS One...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele...
6 Reactions
195 Replies
45K Views
1.Samweli Sita 2.Kingunge 3.Ndesamburo 3.King Majuto 4.Masaburi 5.Masogange 6.Sam wa Ukweli 8.Maji Marefu 9..... Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia...
9 Reactions
50 Replies
8K Views
Huyu kijana mzee sijamsikia kitambo Sana, ni moja ya magentleman wa mjini wenye hela bila kelele toka enzi hizo. Kabla hata Freeman hajaingia kwenye siasa huyu ni mshkaji wamedance wote...
5 Reactions
25 Replies
7K Views
Huwenda asijulikane kwa wengi kutokana na muziki anaofanya kupendwa na idadi ndogo ya watu ila kipaji halisi cha muziki kiko ndani yake. Yamodo ni mwanamuziki wa dansi, kwangu mimi nilianza...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Yani inafika siku kama ijumaa ma jumamosi usiku namna cha msanii yeyote aliekuja kupiga show unaishia kuwaona tu YouTube na instagram ukiwa mkazo wa hili jiji, sio hivyo tu hata clubs za kwenda...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
I Hope Mu wazima ndugu wadau, Nilikuwa Sijasikiliza redio hasa kipindi cha Xxl ya Cloud's fm,kwa muda mrefu sana, Basi leo nikiwa nawasikiliza nimesikia wakiwahimiza mashabiki wa muziki wa huko...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
basi ndo hivyo bana ALi kiba ndoa chali na Roma pia,haijajulikana mara moja sababu ya issue ya Roma ila kwa ali kiba ni kwamba mwana dada alichoka madharau ya king kiba kalalamika sana kwao...
13 Reactions
66 Replies
14K Views
Ki ukweli kama hujawahi muona huyu mtu akifanya mabalaaa basi siku 1 ukiona mabalaa ya huyu jamaa utajua naongelea nini,Zamani eti niliskiaga ukiwa komando unapewa kisu na njiti 1 tu ya kiberiti...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Binti ambaye ni mhasibu amefariki dunia papo hapo kwa kupigwa shoti ya umeme baada ya simu yake iliyokuwa akiichaji kuanguka ndani ya maji. Evgenia Shulyatyeva (26), ambaye ni mpenda ‘selfie’...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amesema hajaachana na mkewe bali amemruhusu arejee kwao Kenya kufanya kazi kama alivyomuomba. Amesema licha ya uamuzi wake huo, siku za hivi...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa wale wanaomfahu David Nkuba amefariki leo kwa ajali ya gari ndogo maeneo ya Shinyanga. David alisoma Azania Secondary, Usagara High School, alipita pia UDSM kidogo na baadae akamalizia...
3 Reactions
82 Replies
19K Views
DAR ES SALAAM,TANZANIA. Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amesema hajaachana na mkewe bali amemruhusu arejee kwao Kenya kufanya kazi kama alivyomuomba. Amesema licha ya uamuzi wake huo, siku za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amemuomba msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kubadilisha ratiba ya Wasafi Festival mkoani Iringa ili ahudhurie...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Hili nalisema kwa kuangalia jinsi diamond anavyopeperuka NA vidosho kila siku,Nina imani ZARI atalia muda si mrefu,hakutumia busara kukubali kumzalia diamond mapema kiasi hicho,domo hana utulivu...
3 Reactions
66 Replies
14K Views
Ningependa kumfahamu huyu binti anaitwa Reginal Mengi mtoto wa mwenyekiti wa IPP Lengo la picha ni kumfahamu tu sio kwa sifa hizi anazomwagiwa eti ni mzuri kuliko mama ake mdogo Jack Mengi...
2 Reactions
50 Replies
16K Views
Wakuu ningepata uelewa wa haya mambo kuhusu hii teknolojia ya kupasha habari kwa kutumia hizi online TV,pamoja na hayo pia nahitaji kujua faida inayopatikana kutokana na huduma hizi pia faida...
3 Reactions
124 Replies
24K Views
Wanaukumbi kwema, Leo naombeni mnijuze nini kimemkuta mwanamuziki Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye kuna kipindi tuliaminishwa kuwa atakuja kumzidi kama sio kumfunika na kumpoteza...
11 Reactions
170 Replies
32K Views
Jamani chonde chonde wasanii hatupendi kuvaa hereni wala kutoboa pua zetu mashabiki ndio mnapenda tuwe hivi. Vuta picha diamond anyoe upala awe anavaa kama lemutuz unafikiri ungempenda kama...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto...
24 Reactions
177 Replies
45K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…