Hatari gani aliyonayo Harmonize mpaka alindwe hivi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1568877794319.jpeg

Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
 
Acheni alindwe hao walinzi wana familia aseee unoko unoko sio mzuri,wakipunguzwa then harmo akawa anatembea peke ake hao majamaa wakaja mtaani kutukaba mtaanza mlalamikia nani?

Hivi hizo mbavu zikikosa kazi then zikawa zinakuvizia wewe umetoka kazini wakutie kabali hv utaacha toa kila kitu kweli? hadi ambavyo hujaambiwa unaweza ukatoa.

N sawa na wale wanaochongea wenzao wenye vyeti feki..hivi unamchongea mtu anacheti feki akifukuzwa kazi wewe unafaidika nini? basi bora afukuzwe kazi then nafasi yake apewe baba ako au ndugu yako ila nafasi anapewa mwingineeeee kbsaaaaa hata humjui halafu unachekelea.

Mnapata faida gani kuwa na vihere here na maisha na kula za watu wengine aseee,ifike tu mahali muwe mnaongelea ,mambo ya familia zenu na kuacha maisha ya watu maana huo ndio Uchawi,sema mmekosa vifaaa tu vya kupaaa angani.
 
Aaah wapi, kwenye picha ya konde boy (kushoto) huyo jamaa mwenye kiduku aliyenyoosha mkono mtazame mara mbilimbili alafu fatilia na picha za mondi akiwa na walinzi wake zinginezo utamuona.
.
Wameamua kutengeneza kampuni yao ya ulinzi binafsi inayowalinda wao na wana facility zote wako wengi mzee wangu rais wa jiji ana mkono wake hapo
 
Acheni alindwe hao walinzi wana familia aseee unoko unoko sio mzuri,wakipunguzwa then harmo akawa anatembea peke ake hao majamaa wakaja mtaani kutukaba mtaanza mlalamikia nani?

Hivi hizo mbavu zikikosa kazi then zikawa zinakuvizia wewe umetoka kazini wakutie kabali hv utaacha toa kila kitu kweli? hadi ambavyo hujaambiwa unaweza ukatoa.

N sawa na wale wanaochongea wenzao wenye vyeti feki..hivi unamchongea mtu anacheti feki akifukuzwa kazi wewe unafaidika nini? basi bora afukuzwe kazi then nafasi yake apewe baba ako au ndugu yako ila nafasi anapewa mwingineeeee kbsaaaaa hata humjui halafu unachekelea.

Mnapata faida gani kuwa na vihere here na maisha na kula za watu wengine aseee,ifike tu mahali muwe mnaongelea ,mambo ya familia zenu na kuacha maisha ya watu maana huo ndio Uchawi,sema mmekosa vifaaa tu vya kupaaa angani.
Pole! kumbe na wewe ni muhanga wa vyeti feki
 
So long as ana uwezo wa kuwalipa muacheni tu hata awe na walinzi 700. Anapaswa kupongezwa kwa kutoa ajira kwa vijana wenzake. Unapopata neema huwa ni vyema kula na wenzako.
 
Mimi naona ni ajira kwa vijana.Pia nikama kuongeza strategies ya kuonekana na kuangaliwa kwa jicho la 3 kwa jili ya Fame.Na hii ni muhimu kwenye Soko
Japo binadamu wenye roho mbaya kwa wivu tu wanaweza taka kumtoa roho.
Kwa maana pengine anajiona au kujidai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom