Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu mama ntilie Shilole ni mnafiki sana na kwa mwendo huu atazidi kuumbuka tu hapa mjini na ma project yake yasioeleweka mbele wala nyuma. Tangu harmonize ajitoe WCB ,Shilole hakauki kwenye...
4 Reactions
60 Replies
14K Views
Rumor has it kuwa jacky ndiye aliyesababisha Madam ritha kuwa banned ITV na bongo star search , hiyo yote ni kwa ajili ya kumkomoa Madam ritha who also rumored to be friends with Jacky before and...
10 Reactions
117 Replies
22K Views
Utani was Amani Pmassam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
168 likes diamondplatnumz CAMEROON!!! CAMEROON!!! See you Nov 22nd & Nov 23rd for my Double V.I P Shows 🛸🌍🛸 MY CURRENT TOUR SCHEDULE:- Canada Toronto 11th October Canada Vancouver 12th October...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Mbaraka Mwinshehe Mwaruka (27 Juni 1944 - 12 Januari 1979) alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjini Morogoro akiwa mtoto wa...
6 Reactions
9 Replies
5K Views
Kituo kikubwa Cha entertainment Cha MTVBASEeast kimetumia saa 1 kupiga ngoma za diamond pekee Kama sehemu ya kumwish happy birthday msanii wa kimataifa Diamond Platnumz kutoka Tanzania ambaye...
13 Reactions
65 Replies
7K Views
Pamoja na majigambo aliyoyafanya ya namna atakavyoupanda Mlima Kilimanjaro, msanii wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amekuwa miongoni mwa wasanii watatu walioshindwa kutimiza ndoto hiyo...
8 Reactions
157 Replies
25K Views
Kwa mujibu wa stori zinazo zagaa kwa sasa ni Diamond atakuwa anasherekea siku ya kuzaliwa na mwanaye huyo mzawa wa Tanasha
1 Reactions
48 Replies
11K Views
Kesi ya Mwanamuziki wa miondoko ya R&B, Robert Sylvester Kelly(52) maarufu R.Kelly imechukua sura mpya baada ya kushtakiwa kwa makosa mapya Mwanamuziki huyo amekuwa akituhumiwa kwa makosa ya...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
​“These rap cats softer than a new born baby bottom... Eti big fish in this ocean... My pussy cat eats that shit..” Ni maneno yanayosemeka katika ukuta (wall) wa Harry Kaale maarufu kwa jina...
0 Reactions
41 Replies
19K Views
Cuban Marimba Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Morogoro, Tanzania. Bendi ilianzishwa na Salum Abdallah Yazidu (SAY) mnamo 1948 ikiwa na jina la Kihispania maarufu kama La...
6 Reactions
10 Replies
5K Views
Msanii na CEO wa KONDE GANG Harmonize, ametuletea idea yake ya kugawa chakula Cha bure mitaani. Amethibitisha hilo kwenye post zake za Instagram alizo ziweke Hivi karibuni Picha.
1 Reactions
90 Replies
12K Views
Taarifa kutoka hospitali ya Bugando zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa...
0 Reactions
42 Replies
17K Views
Kweli jamaa wanaushamba fulani nimegunduaP
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Hakika huku ni kukosa fadhila. Hivi Harmonize hakumbuki Diamond Platnumz amemtoa wapi mpaka hapo alipofikia,yani neno dogo tu la kumpa hongera na kumtakia mafanikio mema bosi weka linamshinda...
8 Reactions
52 Replies
8K Views
Harusi inapovunjika dakika za mwisho Na PDIDY 3rd May 2009 Zipo harusi zingine ukisimuliwa mikasa yake utadhani ni sinema za kuigiza. Pilikapilika...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Harmonize amekuwa msanii pekee mwaka huu kutokana East Africa kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA katika kipengele Cha Best African Act akichuna na wakali Kama Barnaboy na Nasty C Unaweza kumpigia...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Mtihani mzito kwa Konde boy, anatakiwa atoe billion 1 ili apewe copyright ya nyimbo zake na kuachiwa account za youtube na Instagram. Kwa hiyo kisheria na kibiashara Harmonize bado ni msanii wa...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Kweli hawa jamaa nimeamini ni wanfiki siku za nyuma wamewahi kuonesha unafiki kwa wasanii wengi akiwemo Afande Sele, inashangaza sana kutokuwepo kwa jina la FID Q katika list itakayo sherehesha...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Back
Top Bottom