Harmonize amefeli sana kutompost Diamond kwenye birthday yake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,110
Hakika huku ni kukosa fadhila.

Hivi Harmonize hakumbuki Diamond Platnumz amemtoa wapi mpaka hapo alipofikia,yani neno dogo tu la kumpa hongera na kumtakia mafanikio mema bosi weka linamshinda.

Dogo anapotea vibaya sana kwa mwendo huu .

Wasanii wenzake akiwemo Rayvann ,Lava Lava ,Mbosso ,Dulla Makabili hawakusita kutoa ya moyoni kwamba siku zote waja tukumbuke tulipotoka na watu waliotusaidia, dharau, kiburi na majivuno havifai haswa kwa mtu aliyekushika mkono kipindi ambacho ulioonekana si chochote wala si lolote mbele ya jamii inayokuzunguka.

HAPPY BIRTHDAY BOSS DIAMOND PLATNUM, ulipo tupo.
Instagram%20media%20-%20B3FxNc4p0FJ%20(%20799%20X%20640%20).jpeg
 
Vipi kama amemtakia kwa direct message au ameenda nyumbani kwa diamond moja kwa moja kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa
 
Hakika huku ni kukosa fadhila.

Hivi Harmonize hakumbuki Diamond Platnumz amemtoa wapi mpaka hapo alipofikia,yani neno dogo tu la kumpa hongera na kumtakia mafanikio mema bosi weka linamshinda.

Dogo anapotea vibaya sana kwa mwendo huu .

Wasanii wenzake akiwemo Rayvann ,Lava Lava ,Mbosso ,Dulla Makabili hawakusita kutoa ya moyoni kwamba siku zote waja tukumbuke tulipotoka na watu waliotusaidia, dharau, kiburi na majivuno havifai haswa kwa mtu aliyekushika mkono kipindi ambacho ulioonekana si chochote wala si lolote mbele ya jamii inayokuzunguka.

HAPPY BIRTHDAY BOSS DIAMOND PLATNUM, ulipo tupo.View attachment 1221732
Dunia ina enda kasi sana,kwaio saiz mtu birthday yake usipo mpost instagram maanake ni kuwa una ugomvi nae au una mchukia duuu,sasa asipo mpost arafu aka mpigia simu na kumuwish direct then asi mpost kuna ubaya wowote?
 
Mwanaume wa dar analalamika kuona kidume mwenzake hajapostiwa eti 'happy bday'.

Wanaume wa mkoani tuendelee na palizi.
Upuuzi wa hali ya juu, kwani angempost nini kingetokea au hajampost nini kimetokea? Kwanza huyu dada mleta mada anajua leo kutwa nzima huyo Harmonize ameshinda wapi na akifanya nini?

Sijui lini tutapevuka kiakili,umbea ndio kitu pekee tunachoweza kufanya kwa bidii
 
Sasa ukimpigia simu wambea watajuaje? Na wao inabidi wapate cha kupost.

Yaani birthday ya mwanaume mwingine lijitu lingine linalia
Dunia ina enda kasi sana,kwaio saiz mtu birthday yake usipo mpost instagram maanake ni kuwa una ugomvi nae au una mchukia duuu,sasa asipo mpost arafu aka mpigia simu na kumuwish direct then asi mpost kuna ubaya wowote?
 
Unajua Tatizo lenu mmehamishia maisha kwa mtandao mnadhani kila mtu anafanya vitu mtandaoni
Pengine kampigia simu
Pengine kamtumia sms
Wewe utajuaje hivi unadhani mawasiliano ni insta peke yake
La mwisho kabisa mimi hata mke wangu simtakii birthday kwa kuwa si mila yetu mambo ya kuigaiga tu
 
Upuuzi wa hali ya juu, kwani angempost nini kingetokea au hajampost nini kimetokea? Kwanza huyu dada mleta mada anajua leo kutwa nzima huyo Harmonize ameshinda wapi na akifanya nini?

Sijui lini tutapevuka kiakili,umbea ndio kitu pekee tunachoweza kufanya kwa bidii
Mkuu hayo ndio matunda ya akili za vijana wanaoshinda huko wanapopaita insta sijui insha.
 
Back
Top Bottom