Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
607
638
Msanii na CEO wa KONDE GANG Harmonize, ametuletea idea yake ya kugawa chakula Cha bure mitaani.

Amethibitisha hilo kwenye post zake za Instagram alizo ziweke Hivi karibuni

Picha.
Screenshot_20190924-204822.jpeg
Screenshot_20190924-204758.jpeg
 
Mungu akubariki Harmonize...

Tafuta jinsi ya kupata support kwenye hili..

I’m sure watu wako tayari kukuunga mkono in giving back to society
It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.k
Chakula hakijwahi kumtosheleza mtu, tumbo halina Shukran ukila asbh mchana tumbo linataka tena, ukila mchana usiku unahisi njaa...
Hivyo angesaidia watu ili waweze kujikwamua kiuchumi, kielimu hapo sawa
 
Hilo la kusomesha watoto atafanya mtu mwingine yeye kachagua hili.
 
Back
Top Bottom