Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Duniani kote watu maarufu - wanasiasa, wanamichezo, wanamuziki, waigizaji na wengineo - wamekuwa wakitumia majina tofauti na majina yao halisi/kamili/waliyopewa wakati wa kuzaliwa. Kuna sababu...
4 Reactions
192 Replies
81K Views
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa October 10 2019 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Naima Omary, Samatta alifunga ndoa jijini...
13 Reactions
110 Replies
31K Views
Innos’B ama Innocent Balume kwa jina kamili ndio Bwana mdogo anaebamba sana kwenye anga za Afro Beats (Afro Congo) kwa sasa. Amevuma sana na kibao chake cha Po-Ye (uchek hapa link). ambacho...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Amani iwe nanyi nyote. Nimeona clip ikimuonyesha muimbaji wa nyimbo za injili mchini, Goodluck Gozbert akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo Fiesta huko Mwanza. Nimeshangaa na kujiuliza maswali...
2 Reactions
108 Replies
16K Views
Kama huna taarifa za wasanii waliopanda mlima kilimanjaro kwa mbwembwe na wengine kuishia nusu njia kuelekea kituo cha Mandara kutoka lango la Marangu ni kwamba wenzao waliosonga mbele zaidi...
9 Reactions
88 Replies
18K Views
Habari mpya zinasema kuwa bado moyo wa Diamond Platnumz umemzimikia msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye figa matata Meninah licha ya wawili hao kukanusha mara kadhaa. Inadaiwa kuwa Diamond...
2 Reactions
61 Replies
16K Views
Haya jamani habari zisizo kuwa na uhakika zinasema Diamond na Meninah kuoana soon na vikao vya harusi viko chini ya usimamizi wa mama Naseeb na Queen Darleen. =============== Habari mpya...
0 Reactions
163 Replies
25K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo. Inasemekana Menina aligoma...
2 Reactions
68 Replies
23K Views
Nakumbuka walisha wahi kuwekeana tarehe sawa za matamasha yao enzi beef lao likiwa kwenye peak. Nafurahi kuona wanazungumza hivi tena public. Hongera sana.
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Nianze kwa Pongezi Kwa aliye Mteua Mkuu Wetu Wa Tabora(Toronto) , Mungu Ibariki Tanzania. Aisee huyu jamaa amekuwa Maarufu sana Tanzania kutokana na hii fani yake ya uchekeshaji na sio Kipaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Here are five interesting things to know about the “INEOS 1:59 Challenge” World marathon record holder Eliud Kipchoge will be attempting to break the two-hour marathon barrier during the “INEOS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana hali ni tete anahitaji msaada.
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Here are five interesting things to know about the “INEOS 1:59 Challenge” World marathon record holder Eliud Kipchoge will be attempting to break the two-hour marathon barrier during the “INEOS...
1 Reactions
0 Replies
698 Views
Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa...
3 Reactions
53 Replies
10K Views
Leo September 13 ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyewahi kuwa mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Marekani, Tupac Amaru Shakur ‘2 Pac’ ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na watu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Huwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha. Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh...
4 Reactions
35 Replies
16K Views
Msanii wa bongo flavour Shilole akanusha uvumi kuwa amepelekwa ubelgiji na pedeshee kwa habari zaidi soma http://-------/vA1Gs
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi huyu sasa anafanya nini nakumbuka alikuwa naigiza kwa kiswahili chake cha Kenya. Aisee! ilikuwa raha na ni mrembo hasa...
1 Reactions
34 Replies
18K Views
Yule kijana anaejiita rais Magufuli kwa kwa kuigiza sauti ya Rais JPJM anaboa pale anapomaliza kuhutubia na kuanza kuchomoa hela hela watu kitu ambacho Rais Magufuli hafanyi hivyo kabisa. Nadhani...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Huyu mama ntilie Shilole ni mnafiki sana na kwa mwendo huu atazidi kuumbuka tu hapa mjini na ma project yake yasioeleweka mbele wala nyuma. Tangu harmonize ajitoe WCB ,Shilole hakauki kwenye...
4 Reactions
60 Replies
14K Views
Back
Top Bottom