yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,636
- 3,661
Namkubali sana huyu mzeeMaisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine
Kabisa. Wasafi kwa wasafiWasafi huwaalika wasafi
Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine
PwahahaaaaaaaMbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
leo yamekuwa hayoWasafi huwaalika wasafi
Wanalowesha magodoro haswaaaaaa! Tena lile Niagara Falls la mtu mzima lililo Changanyika na bia basi inakuwa tabu. Juzi nimetupa godoro jipya kudadeki!Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.