Kama mnavyojua utafiti unaonyesha Watanzania wengi hawana furaha ya kuishi,basi na ifike mahali waandaaji wa matamasha waige mfano wa clouds,kwamba kuna watu wanauhitaji sana wa kuwaona wasanii...
Msaani mzaliwa wa eneo la Georgia Marekani, David Datuna amekula ndizi iliyotumika katika kazi ya sanaa ya Maurizo Cattelan ambayo iliuzwa kwa kitita cha dola $120,000 sawa na Tshs275,997,147.33...
Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa.
Barua...
BADO Kenya inaendelea kujisafisha kwenye suala la skendo za matumizi ya dawa za kuongeza nguvu kwa wanariadha wake.
Sheria za mchezo wa riadha zimekuwa ngumu wakati huu kwani wanariadha wakorofi...
Napita pita mitandaoni asubuh hii naona picha za uzinduzi wa tigo fiesta Mwanza,kiukweli haishtui hata kidogo halaf haina mzuka hata wa kuwa curious kilichojiri huko,je kwamba Watanzania...
MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.
Katika kipande cha video kinachosambaa...
ALI MUFURUKI
Chairman & CEO
Infotech Investment Group
Mr. Mufuruki graduated in 1986 with a Bachelor of Science degree in mechanical engineering design from The Fachhochschule for Technology and...
Hey Guys,,,,
okay,,,fresh
Hakuna asiye jua jinsi Wasafi festival ilivyo kuja kwa nguvu mpaka kupelekea kuwatia mashaka clouds na Fiesta yao.
Ile hali kwa hali ya kawaida ilikuwa ni tishio kubwa...
Kulingana na soko la muziki kukua bongo imechangia uwepo wa waongozaji wapya wa video za muziki kwa kasi.
Mimi top 5 yangu ni hii
1.Director Flex
2.Dir KAJALA
3.DIR SNIPPER
4.DIR JOMA
5.DIR...
Hip hop lovers wamempoteza mkali mwingine leo maarufu kwa jina la Juice wrld.
ardhi imejitwalia udongo wake ...
Tujikumbushe na his hit song All girls are the same.
They're rotting my brain...
Bila shaka kila mmoja anamfahamu kijana huyu kutokana na kipaji chake cha kuimba.
Hapa nitawafahamisha mganga wa Diamond Platnumz anaemfanya ang'are kila kukicha. Hivyo hivyo kila mmoja anatamani...
Mgombea Urais katika awamu iliyopita Mama , Hillary Clinton, ametoa sifa kwa rapper Jay Z wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Mwanamuziki huyo wa Mitindo ya kufoka alisherehekea kutimiza...
Nimeona mapokezi ya diamond guinea ya bissau ni makubwa Sana honest nimefurahi kuona jinsi gani mziki unavyopiga hatua kubwa sana.Big up kwake kwa kuendelea kuiwakilisha vizuri Tanzania.
AMKENI… amkeni… amkeni… njooni huku! Habari ikufikie kuwa, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, amefungasha virago jijini Dar na kurejea...
Anasema sio yeye.
Nimeshapoteza mabao yangu bure kabisa kama maneno yake yatakua yanaukweli wowote.
Ila natarajia kuingia chumba cha upelelezi wazile part 7 kwa kujiridhisha zaidi.
HII NI MOJA YA CONVERSATION KUHUSIANA NA YEYE BINAFSI KIUFUPI NA JUHUDI ALIZO FANIKIWA;
SWALI: Ruge mutahaba ni nani?
RUGE: Nimezaliwa Brooklyn, New York, Marekani, mwaka 1970. Primary...
Have you ever wondered where these Socialite Girls Get all the Money that they flaunt in Social Media
-----
This is How Socialite Girls like Kina Agness Masogange , Huddah Monroe and Corazon Makes...
Huyu dogo ameshaanza kupotea na kuonyesha makucha yake halisi kwenye jamii, Wiki chache zilizopita alikumbwa na kashfa ya kuwadharau waandishi wa habari wa Kenya, kitu cha kushangaza hakutoa tamko...