Mtoto mwenye umri wa miaka nane, Ryan Kaji ambaye ni mzaliwa wa Marekani ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndiye aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube kwa mwaka 2019.
Ryan...
How time flys, My baby girl has become a woman, ameandika P-Funk Majani aka Dream Big kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa...
(CNN)Rapper and singer Juice WRLD has died in Chicago, the Cook County Medical Examiner's Office said Sunday.
Juice, who was born Jarad Anthony Higgins, turned 21 on December 2.
The rapper...
Kwa miezi 12 iliyopita, mastaa 100 wanaolipwa fedha nyingi zaidi dunia waliingiza jumla ya Tsh trilioni 11 ikiwa ni fedha nyingi kuliko pato la taifa la nchi tatu za Belize, Liberia na Gambia...
ni huyu Machugu wa star tv na huyu kapiga wa clouds tv!
nakerekwa mno na tabia zao zifuatazo ambazo ambazo mi huwa naona hazina maana;
1. kujichekesha chekesha. muda wote wa habari wamekuwa ni wa...
Mwanamziki wa kimataifa Rayvanny Boy mwenye sauti tamu Kama vanilla au ukipenda unaweza kumwita chui kutoka kwenye moja ya label kubwa Africa WCB, hivi karibuni ameandaa project inayoitwa Flowers...
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.
Diamond ana mashamba makubwa...
PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro...
Afande Sele amesema hamjui msanii anayitwa wakazi kwa sura wala hajawahi kusikia nyimbo yake, ni baada ya wakazi kumkosoa kuhusu kauli aliyoitoa juu ya Vanessa Mdee, amesema amewahi kuwa group...
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika...
Amani iwe nanyi wakuu.
Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua?
Muziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole...
Kiukweli bandugu.
Hawa wasanii wawili kwa hapa bongo sijaona mtu anayewazidi kwa kuimba live.
Maana wengi wanaimba na CD yaani playlist imepangwa kwenye CD halafu anashuka tu.!
Lakini show...
Salam,
Kwanza nikiri kuwa pamoja na kwamba Sikuwa mfuasi wa msanii huyu wa singeli, na wala sikuamini Kama aina yake ya mziki ingetoboa na angetoka.... Lakini kwa Mwaka mmoja wa kwanza tangu Juma...
Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group.
Lakini hii inaleta tafsiri kuwa...
Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee
Kuwa vinywani
Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Mwanadada Faiza ambaye ni mke wa mbunge Joseph Mbilinyi aka Sugu amefanya kitu ambacho kwa sasa ni gumzo huko...
Nlimpenda sana baada ya kumuona kwenye ile movie ya kanumba ya lost twins..alivoigiza na mvuto wake.
Tulitarajia tungekuja kumuona kwenye movie nyingine lakini kimya.
Hata hivo sio vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.