Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Uyu jamaa VP amekuwa kimya sana mbwembwe zake zimeishia wapi
JK yupo msongaUyu jamaa VP amekuwa kimya sana mbwembwe zake zimeishia wapi
Gwamaka hajawahi fanikiwa kimuziki zaidi ya kubebwa na East Coast..
Hamorappa ndio nani?GK hata kwa Harmorrapa haingii kamwe
Kwa nyimbo ipi!!Ana heat kwa mitandao tu!Nyimbo yenyewe kawaida xna,huwez mfananixha na GKile interview yake niliiona .....huyu jamaa anastress za kupotea kimziki akawa anaforce kurudi..
na sisi washabiki hatuna habari nae sasa tunaye HAMORAPA-KIBOKO YA MABISHOO.
GK akafie mbele
,,et crazy JK!!! Mkuu unajua kufatilia vitu vidgo vidgo!!!crazy JK ndo msanii gani huyo
Mshkaji flan ana kigugumizicrazy JK ndo msanii gani huyo