Unique sisters wako wapi?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?
 
nadhani wawili wapo Japan, wameolewa na mmoja alijifungua mwaka jana.

Mwingine yupo Bongo anafanya kazi na kampuni za kimarekani
 
Inawezekana maana waliishigi huko Ujapengani miaka ya 80 na huenda kuna kibabu cha kijapenga kilimzimikia mmoja wao
Hahhaaa kwa nini kibabu? Usikute kijana wa kijapenga tena mtanashati mrefu kama yule basketballer anayetesa sasa hivi
 
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?

Kuna mmoja alikua close sana na eddy wa itv sijui kaolewa na huyo jamaa au vp? Kama hamumjui ebu google "Unique Sisters-zaidi yako" yupo nae amemkumbatia kwa nyuma anacheza nae,mie nampenda yule mweupe kidogo mwenye kithethe(Radhia)!
 
Back
Top Bottom