Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nlimpenda sana baada ya kumuona kwenye ile movie ya kanumba ya lost twins..alivoigiza na mvuto wake. Tulitarajia tungekuja kumuona kwenye movie nyingine lakini kimya. Hata hivo sio vibaya...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Mwanamziki nguli wa kimataifa na maarufu na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Zena Yusuph Mohamed a.k.a Shilole ametangaza nia yake ya kugombea Jimbo la Igunga ambapo pia ni sehemu alipokulia kwenye...
2 Reactions
128 Replies
9K Views
Mnakumbuka huyu mbongoflevarist jamani ,yuko wapi?
1 Reactions
42 Replies
12K Views
Jux amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano, ni baada ya msanii huyo wa kike kusema dada yake Vanessa Mdee amempata mtu wa level zake ambaye ni Rotimi muigizaji wa filamu nchini...
8 Reactions
102 Replies
21K Views
Habari za humu ndani wakuu, Tukiwa tupo katika mapumziko ya mwisho wa mwaka na wengine wakiwa bado wanaendelea na shughuli zao za kawaida siyo vibaya tukapata muda wa kupitia page ya facebook ya...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Kwa jinsi upepo unavyovuma sina budi kusema kwamba huyu kijanaa mwenzetu kutoka tandale anaelekea kuanguakia pua kama ilivyotokea kwa msanii mwenzake Mr nice( Lucas...
26 Reactions
206 Replies
25K Views
Wakuu mambo vipi! Leo natua kwenu kama mgeni wa jukwaa hili (sababu sijawahi post kuhusu masuala ya burudani). Niende moja kwa moja kwenye mada, hoja yangu ninayoiwasilisha kwenu inamuhusu...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?
2 Reactions
64 Replies
23K Views
Achana na story tatu ya Jay moe,nikusaidieje ya Profesa Jay,starehe ya Ferooz,mikasi ya Ngwair au Playboy ya Nikki Mbishi Huyu bwana anayietwa P the mc ni hatari kwa hizi nyimbo za kughani huku...
11 Reactions
92 Replies
17K Views
Mapendo! Bwana Yesu Asifiwe Amani Iwe Nanyi Matumaini Yangu Weekend Inakwenda Vyema Wakuu. Ebana Mm Na Maswali Yakizushi Nimekuwa Nikifatilia sana Show Mbali Mbali Si Tanzania tu Hata Nje Ya...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Shilole na Nuh mziwanda wamedaiwa kurudiana baada ya shilole kutuma picha inayomuonyesha yeye na Nuh Mziwanda wakiwa nwameweka pozi tata lodge Shilole amedai hajarudiana na Nuh ila wameamua kuwa...
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Wakuu habari Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
3 Reactions
140 Replies
25K Views
BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly ‘Lynn’ kumbe ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi...
2 Reactions
53 Replies
13K Views
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja...
7 Reactions
188 Replies
23K Views
na akiwa na hela zake anadanga, na unaona kaajiriwa na anapiga kazi , only in Bongo Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Sent from my iPhone using JamiiForums
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Sent from my iPhone using JamiiForums
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Roma anakula maisha na huyu binti USA katika state ya Virginia . Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
59 Replies
14K Views
Kwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ... Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed 'Shilole' amesema hawezi kuthubutu kwa sasa kupigana na mume wake Uchebe kwa kwa madai amekuwa na mapenzi ya kupigana yalikuwa ya utoto. Shilole...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom