aliongea mengi, alimalizia kwa kusema tena kwa dharau, Diamond sio mmiliki kama anavyodanganya watu na angetaka kazi angempigia mmiliki sababu anamjua , Diva alaiongezea diamond ni muongo sana...
Huyu kijana anauwezo mdogo wa kutunga na kuandika nyimbo kufikisha ujumbe wa aliokusudia. Badala yake amejikita kwenye hisia, mihemko na nadharia. Ila ukikaa na kusikiliza hakuna ujumbe...
Salute.
Wagiriki wana msemo wao unaitwa πολυμαθής "polymaths" wakimaanisha aliye na elimu pana au ni mtu ambae
anauwezo mkubwa katika mambo mbalimbali, anaweza kusovu mafumbo na kutatua au...
Hiki kipindi kilikuwa hot sana, kilibamba sana na kilikuwa kinapendwa na watu wengi sana. Kilikuwa kinarushwa kila Ijumaa ila kilianza kuyunga kuanzia mwaka 2017 mwishoni na hadi sasa hivi...
Habarini za wasaa huu, napanda jukwaa hill nikiwa na kero kubwa juu ya hawa wahuni wanaojiita wasanii Wa Tanzania
Nimeunganisha dots nikaibuka na conclusion kwamba 80% yw wasanii Wa TZ ni...
Usiku wa jana Binti Elizabeth michael, Lulu alikuwa insta live akiwa amelewa, inasemekana kwa sasa amekuwa mtu wa stress baada ya kupigwa chini na mpenzi wake Majay
Diamond amefanya vizuri 2019 hakuna ubishi. Amefanya shows za mafanikio na ameangaliwa zaidi kwenye You Tube kuliko msaanii mwingine yeyote Afrika!!!
Wasanii wa West na South Afrika ambao Mondi...
Msanii Dudu amefunguka baada ya kusikia kufungiwa mziki wake amesema sijapata wala kupokea barua yao so nitaendelea na mziki wangu Kama kawaida mpaka pale nitapopata barua yao alafu pia me...
Ni jambo la kishujaa alilolifanya na limewashida wengi.
Ludacris kupitia ukurasa wake wa instagram, amepost video akiwa kashikilia passport ya Gabon kwenye video ameandika maneno akionesha kwamba...
Mnafikiri pesa za kulipa vitu vyote visivyo na maana zinatoka wapi. Dunia nzima hii ndiyo sababu ya kufilisika kwa waburudishaji wengi. Oprah alisema wengi wao hata matumizi na checks hawaandiki...
Wadau,
Gwiji na mfalme wa R&B R Kelly yupo kwenye wakati mgumu kutokana na tuhuma za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto.
Safari hii tuhuma zimemlemea na kutikisa dunia ya muziki ambayo imempa...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakiwa kwenye matembezi ya kilomita tano pamoja na wanariadha wengine...
Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri...
Inauma sana!
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mh. Juma Hamidu Aweso kumbe kazaliwa mwaka 1986?! Dah!
Kama ni kweli ameanza kula maisha mapema sana!
Muigizaji huyo ameyasema hayo Ijumaa hii akiwa kwenye uzinduzi wa kipindi kipya cha Nipe Code ambacho kitaoneshwa kupitia king’amuzi cha @startimestz .
Ali Kiba ni staa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa...
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MWANAMUZIKI KING CRAZY GK JANA ALIONEKANA KWENYE HADHARA KATIKA TUZO ZA KILI.
CRAZY GK ANAKUMBUKWA SANA ALITAMBA NA KUNDI LAKE LA EAST COAST TEAM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.