Box tupo
Member
- Nov 2, 2019
- 55
- 54
Roma anakula maisha na huyu binti USA katika state ya Virginia .View attachment 1320882View attachment 1320883View attachment 1320884
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako 5 kuna dume nyuma limeshika simu na mandevu mshale!Sidhani ka huko ni kula maisha. Naona kidume kinaliwa. Huo msururu wote hapo matumbo ka 4 nimeona hapo wadhani rahisi kuwalisha huko majuu??
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wako 5 kuna dume nyuma limeshika simu na mandevu mshale!
Badilisheni heading mseme; Mkatoliki analiwa maisha huko usaWako 5 kuna dume nyuma limeshika simu na mandevu mshale!
Mbona wakawaida kuliko mke wake
Sjui ni kwanini tunapenda kukurupuka kuwaunganisha watu eti ni wapenzi na ukute ni ndugu wa damuRoma anakula maisha na huyu binti USA katika state ya Virginia .View attachment 1320882View attachment 1320883View attachment 1320884
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu huwa hatuwajui kiundani zaidiSjui ni kwanini tunapenda kukurupuka kuwaunganisha watu eti ni wapenzi na ukute ni ndugu wa damu
Jumla ni 6 Mkuu, ukijumlisha na mpiga picha.Wako 5 kuna dume nyuma limeshika simu na mandevu mshale!