Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mcheza filamu Zuberi Mohamed‘Niva’ juzi alijikuta akipata fedheha baada ya kupigana na mwanamke anayesemekana kuwa kama ni mpenzi wake, sakata hilo la aibu lilitokea katika Hotel ya Ndeka iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari ya jumamosi wakuu. Najaribu kujiuliza, katika fani hii ya uigizaji Tanzania au maarufu kama Bongo Movie, kuna muigizaji ana elimu ya kiwango cha shahada au zaidi? Nasikia kwenye Muziki...
9 Reactions
227 Replies
38K Views
Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica. Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na...
4 Reactions
45 Replies
13K Views
Baracka the Prince ametamka hayo wakat akihojiwa na kituo fulan, amesema Kwa sasa ni kumkosea heshima Diamond kumfananisha na Ally Kiba , na hvyo Ally Kiba anatakiwa afananishwe na Best naso ...
8 Reactions
106 Replies
20K Views
Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Tokea mwaka 2012 alipofanyaga tamasha la Diamonds Are Forever, Watu wamekuwa wakimtabiria kuanguka soon! Nauliza hiyo soon 'karibia' haifiki tu? Maana sisi km team Wasafi tushazichoka hizo ndere...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes [emoji107] nyingi zaidi ya likes Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa...
1 Reactions
94 Replies
14K Views
Kwenye hii picha ni Bondia Mkongwe Mike Tyson "Malik Abdul Aziz" akiwa na Rais wa Sasa wa Marekani - Trump! Ambapo UNAAMBIWA Picha hii ilipigwa Mwaka 1988 kipindi hicho Mike Tyson akiwa amemuajiri...
13 Reactions
38 Replies
8K Views
Nikitia neno hapa nitaambiwa napendelea, msikilizeni wenyewe Man Walter
7 Reactions
77 Replies
12K Views
Msanii nguli wa kimataifa diamond platnumz a.k.a baba lao and CEO wa WASAFI MEDIA akihojiwa na sports arena baada ya kurudi kutoka misri kwenye tuzo za CAF mahojiano Kama ifuatavyo Mtangazaji...
11 Reactions
63 Replies
9K Views
  • Closed
Apo vipi?
1 Reactions
96 Replies
10K Views
Huyu jamaa ni fundi sana nadhani hakuna vocalist kama yeye hapa Bongo maana jamaa anaimba vizuri low keys na high keys hasa kwa upande wa waimbaji wa room. Siku hizi sisikii nyimbo mpya toka...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Malkia wa filamu Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampuni ya simu za mkononi ya KZG Tanzania yenye makao makuu yake nchini China. Katika mkataba huo mwigizaji huyo atavuna kiasi cha...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
By Sangu J Moja ya mambo yananishangaza Sana kwenye Muziki wa Bongo Fleva ni kukosekana kwa Mwanamke mmoja ambaye atakuwa na hasira kubwa Sana kama aliyokuwa nayo Diamond Platnumz kwa kuweka...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Mashabiki wa Sanchoka wamewajia juu waandaaji wa shindano la miss bam bam 2018 baada ya mlimbwende binti Salim kuchukua taji la mrembo mwenye umbo la kibantu zaidi huku Sanchoka akishika namba 2...
6 Reactions
111 Replies
33K Views
Kijana wetu Diamond Platnumz a.k.a Michael jackson wa Africa kaanza vzr na mwaka 2020,event kubwa sana ya utoaji tuzo za fifa kwa bara la africa, Kijana alipofika tu kwenye shughuli nje ya jengo...
5 Reactions
67 Replies
12K Views
Ingawa mwaka huu bongo ilikua na wawakilishi wengi hakuna alieshinda. Ni kwa nini? Best New MVP: FireBoy DML (NG) JoeBoy (NG) Marioo (TZ) Rema (NG) – Winner Simmy (SA) Wendy Shay (GH) Best...
2 Reactions
102 Replies
11K Views
Msanii legend wa music wa bongofleva Mr Nice ameshangazwa na msanii Harmonize kuchukua vionjo wa wimbo wake kin'gasti Kwenye wimbo "Hainistui" bila kuniomba wala makubaliano. Wakati Mr Nice...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Man Water ni miongoni mwa ma producer hodari aliewatoa wasanii wengi kama kina 20% ila baada ya kutoelewana 20% akapotea. Katika mahojiano na Azam TV, amesema kuwa kuna nyimbo kadhaa alizofanya...
1 Reactions
66 Replies
14K Views
Back
Top Bottom