ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,301
Mnakumbuka huyu mbongoflevarist jamani ,yuko wapi?
aliolewaga na mjedaMnakumbuka huyu mbongoflevarist jamani ,yuko wapi?
Married!? Mkoa gani!??She's now a born again christian na ameacha muziki wa kidunia! Kwa sasa anafanya kazi!
Hajaolewa, yupo jijini dsm anafanya kazi Ernst & Young..unatakakuchumbia nini mkuu!Married!? Mkoa gani!??
Kwanini hajaolewa hadi leo!!???Hajaolewa, yupo jijini dsm anafanya kazi Ernst & Young..unatakakuchumbia nini mkuu!
Ndoa ni majaliwa mkuu..sio wote wataolewa hapa duniani! kama vp fanya mambo mkuu!Kwanini hajaolewa hadi leo!!???
Mkuu kuna updates hapa kwamba Renee Lamira ameolewa na ana familia kwa sasa..anasali pale kwa pastor Chriss Mbezi..so ana mwenyewe kwa sasa hah hahKwanini hajaolewa hadi leo!!???
Mi nimezisahau zote ...weka mmoja hapa!Umenifanya nikumbuke mbali san baada ya kukumbuka nyimbo zake
Kama la avatar yakoNakumbuka ji figa lake
Moja inaitwa FITINAMi nimezisahau zote ...weka mmoja hapa!
Lake limezidi hapo, ana wowowo hiloKama la avatar yako