Jux amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
122
250
Jux amemjibu Mimi Mars kwa kumwambia mapenzi sio mashindano, ni baada ya msanii huyo wa kike kusema dada yake Vanessa Mdee amempata mtu wa level zake ambaye ni Rotimi muigizaji wa filamu nchini Marekani

Jux amesema hayo kupitia EATV & EA Radio Digital, ambapo ameeleza kuwa mapenzi sio mashindano na mtu unatakiwa kufanya kutokea moyoni. "Sijui kwanini amesema hivyo ila kama ni yeye ameona hivyo sawa siwezi kukataa, kwanza muda huo sina pili mimi nina maisha mengine, pia ninaheshimu mawazo yake hata kama anaona hivyo lakini ninachoweza kusema kwenye maisha ya mapenzi hakunaga mashindano" - Jux

Hisani: Swahili World

jux.jpg
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,826
2,000

View attachment 1282524
Huyu si Alipiga Picha anajenga Ghorofa,hivi alishalimaliza?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom