Irene Mbowe a.k.a kungwi lao

kengeledoi

JF-Expert Member
May 27, 2016
326
230
Habari za humu ndani wakuu,

Tukiwa tupo katika mapumziko ya mwisho wa mwaka na wengine wakiwa bado wanaendelea na shughuli zao za kawaida siyo vibaya tukapata muda wa kupitia page ya facebook ya huyu mama maana anafundisha hasa.

Hii siyo kwa wamama na mabinti bali hata kwa vijana na wababa hasa yule aliyeweka mada ya kuchagua makabila wakati wa kuoa. Kama kuna ambaye amehudhuria semina aje atujuze zaidi maana me namsoma tu fb ila masomo yake ni mazuri sana.
 
Huyo mama mwenye walewale kelele nyingi matendo sifuri,labda anafundisha wadada wajikoboe mana alikua mweusi ckuhizi mzungu pori wa usa
 
kiki tu ndoa ni wewe mwenyewe haina formular wala nini? kama hamna heshima kwenye ndoa yenu hata ufundishwe na nani itaharibika tu
Ungekuwa unafuatilia mafundisho yake mpka leo usingekuwa na hasira na wanaume.Moyoni hatuweki wanaume!!Be smart in Irene Voice
 
Huyo dada after money Sana, sound kibao. Hayuko compitance Sana. Look Akina criss mauki etc wanaelimisha vizuri no longo longo... Akina dada wakitanzania wakija kuamka wataacha kutoa pesa kwa Akina kungwi na fake manabii...
 
Dah mi mwenyewe Irene Mbowe namkubali Sana kuna vitu anaongelea watu wanabisha ila ukikaa kufikiria ni kweli kabisa na amesaidia wanawake wengi
 
Back
Top Bottom