Silengi kuchochea udini wa aina yeyote ile ila najiuliza imetokea bahati mbaya tu au kuna namna nyingine kwa wale wanaoliwakilisha taifa vizuri zaidi kwenye burudani na michezo kuwa Waislam au...
Renowned British model Naomi Campbell has reacted to the 2020 Grammy Awards that saw Beninese singer-songwriter Angelique Kidjo bests Nigeria’s Burna Boy and others to winning the Best African...
Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant 'Mamba' amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California.
Kobe mwenye miaka 41 akiwa na binti yake Gianna walikuwa miongoni...
Heshima kwenu wakuu!
Kwa mwenye kuelewa, naomba anisaidie kuwataja wahenga wa Bongo kutoka tasnia mbalimbali, kuanzia siasa, muziki na kadhalika, waliooa wake wazungu.
Kwa kuanzia, nimepata...
Umejitahidi kujaribu kubomoa biashara yangu kenye magazeti yako kwa kila aina ya uchafu kuwazushia na kuwaandika wasanii wangu tumekaa kimya. Baada kufeli kuwabomoa wasanii wangu na kuona magazeti...
Yule mdada mwenye sura ya baba yake ila msambwanda wa kuvunja chaga anayetangaza kituo cha mzee machache inasemekena kafukuzwa kazi baada ya vimbwanga vyake vya karibuni kwenye social media...
Best Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele...
Asee nilikuwa nikiona yule totozi aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.
Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu...
Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga...
Habari wana jamvi, leo nimewaletea hawa wadogo zetu kutoka WCB, nataka tuwashindanishe kwa kila kitu kuanzia mziki wao, live performance zao, swaga zao, uvaaji wao na kila kitu ki ujumla.
Stay tuned. The whole story will come to you soon after " Aston Villa Vs Leicester City".
Amkeni! Amkeni! Amkeni! Tumtazame Mbwana Samatta akifanya vitu vyake ndani ya Premier League.
Halla...
[emoji1487][emoji119][emoji1487]Nyota wa muziki wa Rap, Missy Elliot ametunukiwa shahada ya uzamifu katika musiki na chuo kikuu cha Berklee College of Music Marekani.
[emoji146][emoji146]“Missy”...
Miss World ashangazwa na uzuri wa Arusha, amuomba rais kibali maalumu cha kujenga nyumba Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akimpa zawadi ya maua Miss World, Vannesa Ponce mara baada...
Kama ulikuwa humjui msiba ni nani utamjua sasa
Kama ulikuwa humfahamu tafadhali mfahamu sasa
Kama ulikuwa unambeza na kumdharau badili mtazamo wako huo sasa... Kwakuwa moja lililo dhahiri ni...
Enzi hizo miaka ya 2000 muziki ulifanyika kwa kiwango kikubwa sana na majina ya wasanii yakapaa, hata shoo walizokuwa wakienda kufanya mikoani zilivutia na kujaza watu japo PA ilikuwa inafanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.