List ya Baadhi ya Wasanii/watu Maarufu waliopata Deals/Ubalozi/Endorsement kutoka kwenye Makampuni

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,746
Kupata deals, ubalozi, au endorsement ya kutangaza bidhaa kutoka kwenye makampuni sio kitu kidogo na si wote wasanii/waigizaji/watu maarufu hupata
Makampuni huangalia vitu vingi mpaka kujiaminisha kuwa unaweza itendea haki bidhaa/brand ya kampuni na hatimae hufunga deal na mtu husika
Hawa ni baadhi ya Wasanii/Waigizaji/watu maarufu waliopata deals yaweza kuwa sasa au huko nyuma
-Ray Kigosi-Afya water
-Bambo-Tanfoam Magodoro Dodoma
-Mzee Majuto-Tanfoam/Azam products/Airtel/Neelkanth Salt
-Kitale-NIDO
-G Nako-Tigo
-Dj Tirra-Tigo
-Wema Sepetu- Airtel
-Weusi-Airtel/DSTV
-Maulidi Kitenge-Tigo/ASAS/Afya Com drinks product/Maji Ya Uhai/BIKO/DSTV
-Salama Jabir-Sport Pesa
-Edo Kumwembe-Sport Pesa/DSTV
-Chid Benz-ZAIN
-Belle 9-CRDB
-Maua Sama-NMB
-Marioo-NMB
-Vannesa Mdee-Crown Paints/Standard Chartered Bank
-Maarifa-Halotel
-Saganda-Airtel
-JB-Airtel
-Godwin Gondwe-Airtel
-Millard Ayo-GSM/Airtel/ASAS
-Harmonize-Sayona Drinks
-Mpoki-ASAS/BIKO/UBER/Appolo Nuddles/Vodacom
-Idris Sultan-UBER/Sport Pesa/Vodacom
-Joti-TIGO/ASAS/Chips Snack/Mr KUKU etc
-Dina Marios-Sayona Drinks
-Kennedy the Remmedy-Jambo products
-MSAMI-Tigo
-DULLA Plannet-Airtel
-Adam Mchomvu-Sayona Drinks
-DARASA CMG-Zantel
-Masoud Kipanya-TIGO/BILLION PAINTS
-DIAMOND-PEPS/CORAL PAINTS/COCACOLA/PARI MATCH/NICE ONE/VODACOM/BELLARIE
-SHETTA-DSTV

Wakulungwa list ni ndefu sana, mnaweza mkaongeza, Je ni vigezo vipi huangaliwa na wengine wajifunze jinsi ya kujibrand ili wapate dili hizi, amabazo kipindi hiki hakuna shoo wangekuwa wanaingiza pesa..?
 
UKIWA NA MANAGEMENT NZURI NA UNAJITAMBUA UTAPATA SANA DILI HIZI
YULE WA KUJIONA HAJIELEWI NDO MANA WATU WANAMPIGA CHINI

Tofautisha hapo kuna mabaloz na influencers ..balozi anakuwa na kataba tofauti na influencers ambao wengi wanatumia social acc zao kuifanya hip kazi na wanakuwa chini ya usimamiz mkubwa plus presha ya kufikia target ya kampuni.
 
Alli kiba - diamond karanga, Mo faya, energy drink
NB : ni mikataba ya siri
mtu wetu hapendi show of kama kawaida yake
 
Tofautisha hapo kuna mabaloz na influencers ..balozi anakuwa na kataba tofauti na influencers ambao wengi wanatumia social acc zao kuifanya hip kazi na wanakuwa chini ya usimamiz mkubwa plus presha ya kufikia target ya kampuni.
Ok nimekupata
 
Back
Top Bottom