Za asubuhi wana jamvi
Kwanza kabisa napenda kukubali na kufaham juhudi za marehemu kanumba kwenye kiwanda cha filamu bongo. Kipindi kanumba yupo hai bongo movie ndo industry iliyokuwa inauza...
Soko la muziki barani Afrika limekua sana kwa sasa, haishangazi kuona wasanii mbalimbali wakipishana kwenye majukwaa makubwa duniani kote kufanya show zinazowaingizia kipato.
Kuna wasanii wengi...
Hili ni jukwaa la celebrity numeleta kidogo mjadala wa demu yupi wa star wa kibongo ni mkali zaidi.
Kwa upande wangu namuona mke wa Kiba, Bi Amina Khaled a.k.a Mrs Ali kiba ana ngozi nzuri tena...
Hatimaye msanii na mwanamuziki Ali Saleh Kiba amekuwa director (mkurugenzi) wa kampuni ya kusimamia mziki Afrika Rockstar 4000 na Rockstar television. Ali kapewa nafasi ya uongozi huo baada ya...
Nimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.
Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa msanii namba mbili WCB na nchini Tanzania kwa ujumla bwana Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika...
Habari zenu jukwaa la celebrity.
Tujuzane bila upendeleo ni binti au demu gani hapa Tanzania amefanikiwa pakubwa kwa kazi zake kuinuka kimaisha yeye binafsi au hata kuwainua ndugu zake. Kipato...
Mwanamuziki wa Jazz na mpiga Saxophone kutoka Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango (86) maarufu ‘Manu Dibango’, amefariki leo asubuhi akiwa jijini Paris baada ya kupata maambuzi Covid 19...
April 4, 2020
CORONA : WASANII WAUNGANA STUDIO KWA MARCO CHALI KUTOA NYIMBO YA KUELIMISHA JAMII
Wanamuziki wakongwe wameamua kuingia studio ili kutengeneza wimbo maalum kuelimisha umma juu...
Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa...
Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na...
Description
Andrew Jack was a British dialect coach and actor from London who had worked on over 80 motion pictures since 1982.
Born: 28 January 1944, London
Died: 31 March 2020, Surrey
Spouse...
Huyu mtoto ana sauti moja mashalaah , tena ya kibabe na mi mrembo kweli kweli, naskia Mbosso anatafuna pale, kwa mara ya Kwanza namuonea wivu Mbosso aisee.
Namkubali Sana huyu bi_dada popote...
Wakuu niwe mkweli tu huyu kijana mziki anaweza sijawahi pata ona..
Ule uwezo wake wa kunata na beat yoyote kwa melody ile ile bila kushuka.. Ni kipaji tosha..
Sasa kwanini basi anakuwa...
Wakuu kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia huyu Mrs Janjaro ili nijue chanzo chake cha mapato ni nini haswaa maana nimemfuatilia weeee nimeambulia patupu nimeona nije kuwashirikisha humu...
Habari za kazi waungwana!!!
Huu ni mwaka wa uchaguzi mwaka huu unaweza ukawa neema pia kwa wasanii wetu mfano
1. Diamond WCB anaweza? Jimbo gani
2.Harmonize Konde boy jimbo gani?
3.Ally s...
Leo nimemkumbuka tu huyu dada, nilikuwa napenda sana kumuangalia enzi zile.
Hivi yupo wapi Siku hizi? aliacha kazi Star TV?Mwenye kufahamu anijuze tafadhali.
Dah! Star TV mmeondoa watangazaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.