Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 54,605
- 27,413
Habari zilitofikia muda si mrefu mheshimiwa
zuma amechaguliwa kuwania uraisi kwa mwaka
2009 nchni africa ya kusini,,mheshimiwa ZUMA
Amechaguliwa na Halmashauri ya ANC,.........
kwa habari zaidi soma gazeti la mwananchi,,,
hongera mzee tunakusubiri kuipangua kesi
yetu ya rushwa natumaini tutapita,,,,
Jana mheshimiwa alikutana na mkuu MBEKI
jinsi ya kumwachia madaraka ya chama .....
kazabuti kamanda