Eric Shigongo ni nani?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Katika pita zangu zangu leo nikasikia jamaa anayemiliki dar live anaitwa erick shigongo, nikawaza huyu jamaa ni nan ni mchaga wa wap huyu

Badae nikasikia hata gazet nililokuwa nasoma gazet fulan la michezo wakasema hata lenyewe ni lake nikashituka kidogo nikawaza huyu jamaa ni yupi

Kuna wengine wakadai jamaa anamiliki maghorofa kadhaa kwa far na mwanza tena jamaa ananilekeza ghoropha kazaa kwa mwanza nikazifahamu. nilishituka sana aisee

Jamaa mwingine akasema huyu jamaa ana chanel YouTube kwa mwez anapiga kama milion 30-50

Mwingine tena akasema jamaa kwa sasa yuko chuo mwaka wa kwanza hapo ndo nilipogopa zaid nikajiuliza sasa huyu jamaa yuko chuo mwaka wa kwanza na anamiliki dar live na magazet hela kapata wapi na alianza shule lin na alifanya dili gan aisee

Naomba kumufam aisee maana anaoneka kama jamaa yuko mbali sana. Yaweza kuwa tukapata nas maujanja njia alizopita nasi tukatusua

LONDON BOY
 
Nenda kama upon dar nenda ofisini jirani na hapa kwangu.. Kama upon nje ya dar nikupe namba yake
 
Back
Top Bottom