Harmonize siku hizi havai mashati kwenye video zake

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
4,913
12,987
Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake.

Halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi, style inaonekana jamaa chini ya label yake anaamua kila kitu yeye mwenyewe.
 
Nakifahamu kile kibao chake alichomwimbia mweshimiwa nakumbuka alikua kavaa nguo, nadhani labda izo nyingine kwani sijapata wasaa kuzitizama kwenye luninga.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipyya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi,style inaonekana jamaa chini ya label yake anaamua kila kitu yeye mwenyewe
Unafikiri hizo pingili zinakuja zenyewe kwa kuandika shombo JF huku amejificha nyuma ya ID fake? Kazitolea jasho, acha aonyeshe matokeo ya jasho lake.
 
Anajitahidi ila nadhani ni wakati wake sasa kuvaa nguo si nyimbo nzima kitumbo wazi

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Six packs mzeee kama una kitambi lazima uumie,
Hujachelewa zama Gym watoto wazuri wanataka kuona mistari mistari kwa tumbo,

Lol.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Six packs mzeee kama una kitambi lazima uumie,
Hujachelewa zama Gym watoto wazuri wanataka kuona mistari mistari kwa tumbo,

Lol.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Watoto wazuri huja tuuh automatically ukiwa smart kimaisha kazi itakua kuchagua tuuh

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom